Malengo 2022 ni kuacha kunywa pombe kabisa

Malengo 2022 ni kuacha kunywa pombe kabisa

Habari wakuu,

Ninamaliza mwaka kwa hali ya juu kabisa nikiwa na furaha na vijipesa angalau vya kula na kunywa ninachokitaka!

Kama kawaida 2021 ulikuwa mwaka wenye changamoto zake lakini kwa asilimia 85 naweza kusema changamoto zote hizo chanzo chake ni ulevi, Serengeti Lite, Konyagi, Kvant Black & White na pombe nyingine nyingi zilitawala 2021

Leo tarehe 31 December ndio siku ya mwisho kabisa kunywa pombe maishani mwangu kwani nimeitumikia kwa zaidi ya miaka 10. Sasa pombe na mimi basi

2022 no alcohol! Mimi na maji, soda & juice
Tupe mrejesho, ni September sasa vipi bado umekomaa au bia tamu
 
Back
Top Bottom