Malengo 2022 ni kuacha kunywa pombe kabisa

Kama umetangaza kuacha ni kazi labda ubadilishe kamapani yako uhame kabisa hata mkoaa
mkuu naendelea kuishi nao lakini bar na maeneo ya kunywa pombe siendi
 
Hatimae nimetimiza mwaka 1 bila kutumia pombe..tuzidi kuombeana mana hichi kishawishi ni kigumu sana hasa kama ulikua mywaji.

#MaendeleoHayanaChama
 
Tuko pamoja leo hata mm naomba Mungu iwe mara ya mwisho, nimekua mfuasi wa miaka 5
 
Sawa Mkuu.

Mungu akuongoze ila angalia usije ukacompasate pombe na chini itakuwa hatari zaidi.
Na wengi wanaswitch automatically kutoka kwa ulabu kwenda kulabua mbususu!
 
Weka malengo ya kununua kitu kikubwa cha thamani kubwa na saving yake iwe ni kila siku apo utaacha tu bila ata kushikiwa bunduki
 
Ina wezekana mbona mimi nili acha, ila sigara ndo ina ni tesa
 
Nakuunga mkono Pombe sio nzuri...
 
Tanzania itajengwa na wazalendo wewe unapanga kuhujumu uchumi! Hiyo siyo sifa.
 
Karibu kwenye kuchanja..buku tano yako tu.pakti moja,big G zako,chipa ya maji,na maziwa fresh.. baada ya kazi..unajumuika na washkaji mpaka saa tatu-nne.. story kibao kucheck mpira,mwenye kuchart na simu sawa..ukimaliza zako unasukutua unapiga maziwa yako fresh unasepa home..kwenye vijiwe vya kuchanja hakuna kupeana round wala offer offer..niwewe namazaga yako ukimaliza unasepa zako.hakunaga ugomvi wala makelele wala mademu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…