Malengo uliyojiwekea mwanzoni mwa mwaka umeyafikia kwa kiwango gani?

Malengo uliyojiwekea mwanzoni mwa mwaka umeyafikia kwa kiwango gani?

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
33,225
Reaction score
83,181
Nilichojifunza 2025

Nguvu ya mwanaume ni PESA tu, hata uwe na umri, akili & busara kiasi gani kama huna Pesa ni bure tu!

2026 Resolutions

Kila kitu kinawezekana, tuwekeze nguvu na akili katika kutafuta, fursa zipo tusikalie kulalamika tu, Adui wa mafanikio yako ni wewe!
 
Deni limekua kwa kasi hadi 116T hadi Mr Slow ameamua kutoka mafichoni atoe neno jana usiku mwingi, ingawa naskia rc pia wana andaa waraka mzito wiki hii na leo mama anajambo lake na presi...
 
Huu mwaka nao uishe tu japo kuna umenipa experience kubwa sana na network.

Plans zangu hazijafanikiwa kwa asilimia kubwa ila kuna mwanga nauona.
 
Back
Top Bottom