MICHAEL SON
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 458
- 536
Nothing is impossible with God. Jaribu kushughulikia withdrawal symptoms kwa kutumia mbadala harmless.Hiyo no 1 inanisumbua mno.
Connect yourself to the very Source ya nguvu zote ambaye ni Mungu, otherwise juhudi zako, hata zingekuwa brilliant kama jua, zitakudisappoint mpaka siku ya Kiyama.Mi ni no 2 pekee ndo inanitesa sana vingine vyote sotumii ila kwa mwezi natumia elf 20 tu kwenye hilo suala
Kwa nini hataweza Mkuu?Huwezi kuacha.
Akiwa serious anaacha tu hata usimtishe.Huwezi kuacha.
Pombe SABABU ya marafiki ambao nimekusudia kuwaepuka na nikilewa lazima nihangaike na madanga and kubet ni tu kutaka pesa za chap chap ili nikanywe nipate malaya! Its like a circle!.. Am going through on line counselling piaMkuu kwa nini:-
1) Unakunywa pombe?
2) Unafanya umalaya?
3) Una-bet?
Unakusudia kufanya nini ili kushinda huo unywaji pombe (ulevi), Umalaya na ku-bet?
Right but I alwys come across stupid women au mm ndo mpumbafu sijalipambanua hili!. Ntaoa lakini let me set the score,,,ni level aggrigate ya maisha kwanza nisije kutesa mtoto wa WA watuukioa unaweza kuacha vyote.
Usawa haujawah kuwa Easy!.. lazima usote in any how!.. sema nimegundua na struggle sana ila MWISHO wa siku namfaidisha ,Muhindi,TBl na Madanga! ..... usijaribu kunivunja moyo USHINDWE KWA JINA LA YESU PEPOOSema usawa umebana sio unaacha
unatesaje mtoto wa watu kwani unaoa zezeta? chukua hatua... nilitee kadi ntakuchangiaRight but I alwys come across stupid women au mm ndo mpumbafu sijalipambanua hili!. Ntaoa lakini let me set the score,,,ni level aggrigate ya maisha kwanza nisije kutesa mtoto wa WA watu