Malengo yangu mwaka 2021 ni kuacha pombe, umalaya na ku-bet

Utawacha 1 na 3 hii 2 utapumzika Kwa muda na Kama huamini nenda ukamuulize Daudi mbinguni kilichao mfanya yeye kuchungulia wake za watu chooni wanapo oga. Bila Shaka atakupa majibu marthawa.
 
Takwimu zinaonyesha maazimio mengi ya mwaka mpya hua hayafiki mwezi Wa 3 (March),jitahidi kupambana mkuu.
 
Utawacha 1 na 3 hii 2 utapumzika Kwa muda na Kama huamini nenda ukamuulize Daudi mbinguni kilichao mfanya yeye kuchungulia wake za watu chooni wanapo oga. Bila Shaka atakupa majibu marthawa.
Naona unamwonea husda kibao tu mwenzio kanasuka wewe ungali kwenye shimo la tewa.
 
Utawacha 1 na 3 hii 2 utapumzika Kwa muda na Kama huamini nenda ukamuulize Daudi mbinguni kilichao mfanya yeye kuchungulia wake za watu chooni wanapo oga. Bila Shaka atakupa majibu marthawa.
Be a little bit serious Mkuu!.. Sasa niende mbinguni How?.. Come on be positive
 
Hutaweza lolote hapo maana huna nia ya kuacha dhambi bali ukosefu wa pesa ndo unakufanya ujilazimishe.
Ukipata pesa mbona nyuchi zitaimba hallelujah..
Aisee How can you be so sure!.. You are so mean Aisee!.. Any way Sina pesa ya kuitwa pesa ,,ila acc inamaliza mwaka na 1.2M, hebu fikiri hao ni malaya wangapi ni Heinken ngp?..Huwez kunitia moyo? na PENGINE kunipa mbinu itakayofanya NIFANIKIWE? Nimeanza hili taratibu kwa miezi 2 sasa!.. ENDELEA na u much know wako!.. ntatoa mrejesho baada ya miezi 6
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nasubiri mrejesho
 
Ukisikiliza sana pessimists huwezi kuona japo chembe za mafanikio. Wao kila hatua imejaa makorongo, miamba, milima, vikwazo, maadui, na kila jaribu lisilopenyeka. But they've got one problem, though. Hawajui kwamba umeamua kuongozwa na Mungu asiyeshindwa kitu. Sasa maneno yao ya kushindwa yakupe ushindi; yaone kama viunzi na vichupio vya kurukia kukwea fanaka zako. Wanadamu wengi kama sio wote wanapenda sana mafanikio, ila tu yasiwe ya wengine!!!
 
Takwimu zinaonyesha maazimio mengi ya mwaka mpya hua hayafiki mwezi Wa 3 (March),jitahidi kupambana mkuu.
Takwimu zinaonesha kwamba maazimio mengi ya mwaka huwa hayafiki mwezi wa 3 (March) kwa watu wenye mioyo ya kushindwa. Jitahidi kuwa na positive mindset & mtegemee sana Mungu nawe utakuja kuanzishiwa uzi siku moja.
 
Hata mimi nimepanga kuacha baadhi ya ulivyo viandika na mbinu nitakayotumia ni hii.

Nachukua mkopo , bank , kikoba, kazini au popote alafu nafanyia jambo moja kubwa mfano kununua kiwanja, kujenga, kununua gari. Then mkopo huo nauwekea makato makubwa ili nimalize haraka. Pesa iyo itakatwa moja kwa moja kupitia standing order pale mshahara unapoingia tu. Pesa itakayonaki ni kidogo tu kwajili ya chakula na kodi ya nyumba.

Ukiwa huna pesa hutoweza kufanya ivyo vitu ilivyotaja. Ila angalizo ukichukua mkopo hakikisha moja kwa moja unaenda kwenye mradi husika lasivyo utaula wote .

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Asante barikiwa
 
Njia nzuri but tatizo linabaki palepale --- mwanadamu kudhani anaweza kujiendesha mwenyewe kwa cerebrum, medulla na cerebellum bila kumhusisha Muumba wake kwenye mlinganyo wa maisha.
 
No 2 inategemea na mazingira, Mimi nilikuwa naishi sinza jirani kabisa na kona bar kule nyuma kwenye zile guest.
Njia ya kurudi kwangu ndio mapaka wanajipanga usiku. Kawaida kabisa kuona mtu kashikishwa ukuta.
 
Umalaya unaweza kuacha kwasababu ukitatulia na mmoja na kudhamiria basi huwez zini na mwingine.

Kubet pia unaweza kukwepa na kuacha maana ukiwa busy na ukitafakari hasara ya kubet uliyoipata, utaacha tu ukidhamiria.

Sasa, kwenye Bia, utakunywa nini?,
Nani atakufariji pale ambapo hata ww mwenyewe hujielewi/siku haijaenda sawa?,
Nani atakupongeza pale ambapo umesotea na umepata hela?,

Jibu ni ww mwenyewe kujipongeza,
Sasa Kujipongeza bila kunywa tubia tuwili tutatu wewe hujazoea, kwahiyo bia utakunywa tu kaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Na sio dhambi ukinywa kwa kiasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
You cannot solve problems by the same mindset you used to create them.~ Albert Einstein
 
Barikiwa sana Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…