Malengo yangu nitakayoyatimiza nikifikisha miaka 40

Mwanangu kaza. Utafika
 
Akili imekukaa sawa sasa,
 
Hongera Sana kwa maono boss,kwa Sasa una miaka mingapi?
Na jee umeshaanza kujipata?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kijana kama unahitaji mwenza huijui jf chit chat??
Jf nzima hii umekosa pisi kwelii??

Unaniangusha sana ndgu yangu.
 
Ukiwa umeajiriwa au mfanyabiashara, utarudi umechoka hata kusimamia mifugo na bustani hutoweza. Majukumu ni mengi muda mchache
Atatafuta shamba boy na kwa sababu ya uchovu uliousema hatotomizi Majukumu yake ya msingi ya ndoa..na
Hapo lile alilosema la ndoa imara litakuwa ndoto ya mchana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Nilikutongoza ukakataa kumbe shida ni umaskini wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…