Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

Kwanini niende umbali wote huu kisa tuu ndoa wakati naweza tuu nikapata mtoto na nikamlea vizuri bila hata hayo maisha ya ndoa.
Sijui hata huwa mnawaza kwa kutumia viungo gani vya miili yenu!

Kwa hiyo wewe unataka kupata mtoto umlee vizuri,unaweza kuweka hapa details chache namna ya kumlea mtoto wewe peke yako kama baba?obviously wewe ni mtoto na unaandika ujinga huu huku ukishuhudia kila siku baba yako na mama yako wanaamka chumba kimoja.
 
Mkuu unaposema uishi na mwanamke bila kufungua ndoa, inamaana hapo mnakuwa mnazini kila siku. Je, huoni kama unaishi katika dhambi na kuweka mazingira magumu ya kiroho kwako na Kwa watoto wako? Yaani mnapoishi bila hata kufunga ndoa hata ibada unakuwa na ukakasi.

Ndoa iliwekwa na Mwenye Mungu Mwenyewe..sasa wewe binadamu unaipingaje? ( Kwa waamini)
Mkuu hzo imani za din zimeletwa na wageni tu hazina maana yoyote , mkuu haki sawa bila usawa wa pande zote imeharibu hzo ndoa za mujibu wa sheria , mwanaume amekuwa akikandamizwa inapotokea migogoro ,hyo ndoa uliyofunga itakuumiza vbaya mno bila kuleta haki kwa upande wako , ndoa ni taratibu za zamani na zilikua zinatumia mifumo ya zamain ili zidumu bora ata ndoa za waislamu kidgo zina maslai kwa upande wa mwanaume kidgo.
 
Unakutana na mwanamke kupika sifuri yaani anapika mtu mradi nyanya ziive ila sio kupatia mapishi ya chakula ambayo yatamfanya mtu ajisikie anakula chakua kizuri na chenye lishe bora. Hadi mtu unamiss msosi wa kwenye migahawa maana wanapika vizuri kumvutia mteja.

Ukija kitandani changamoto kibao. Ukija usafi wa tabia unakuta magepu kibao. Yaani tunalipa mahari as if tunapewa binti ambaye wazazi wamemtunza kwa adabu na heshima kuwa mke wa mtu kumbe tunapewa binti ambaye ukija kukaa nae ni changamoto sasa mahari ni zawadi ya shukurani ya nini ?
Mkuu kwa sasa kufunga pingu za maisha na binti wa mtu apana ,bora tuishi kwa makubaliano ya mda fulani akileta zengwe kidgo tu nitimue
 
Mkuu tatizo kwa waafrika mume ni kutafuta pesa na kuchepuka anavyojisikia ila mke ni kutafuta pesa, kufanya kazi za ndani, kulea mume na watoto na kuvumilia ujinga wote wa mumewe huyo ndio anaonekana wife material kwa afrika
Mwanaume akilala na wanawake 1000 na mwanamke akalala na wanawake 1000 wadhani nani anajiweka katika mazingira mabaya kiafya, kimwili na hata hasara zaidi.

Its obvious body count ya mwanaume ikiwa kubwa anakuwa anapata benefits zaidi kuliko hasara kama akiwa na umakini asipatwe na magonjwa. Ila ukija kwa mwanamke hasara ni nyingi hata kama atajikinga na maradha.

Imagine kukutana na madudu ya size tofauti yanavyoharibu uke wake. Bado bahati za kushika ujauzito na kutoa of which ina madhara sana katika afya ya uzazi.

Sperm za wanaume tofauti katika uke wa mwanamke ina mchango mkubwa sana wa kuharibu mfumo wa uzazi uzibaji wa mirija ya uzazi bado uzalishaji wa bakteria wanaoleta magonjwa makali ya zinaa.

Uke wa mwanamke ulioingiliwa sana huwa unaharibika kimionekano. Tazama actresses wa kike wa movies za porn wale waliozeekea katika hiyo tasnia tazama maumbile yao.

Furaha ya mwanamke haipo katika kulala na wanaume zaidi ya m'moja cha zaidi kila mwanaume anaemvua nguo anamvua sehemu ya utu wake kama utabisha mtafute mwanamke aliyekuwa mdangaji kipindi cha usichana wake uone anavyoishi kwa mashaka, aibu, wasiwasi na kukosa amani umri ukishaanza kumtupa mkono.
 
Yani wewe mwehu kweli unajinadi hapa kuishi na mwanamke bila ndoa, wakati sheria inasema ukiishi na mwanamke kwa miezi sita huyo tayari ni mkeo, au unafikiri serikali inatambua ndoa zinazofungwa harusi na kuvalishana pete tu kwani hujui sheria kijana
Mkuu kama hakuna kiapo na mikataba ya kusainishana serikal haitambui hyo ndoa , ndo maana kma umefunga ndoa ukaishi na mwanamke mwingne miaka 10 bila ndoa yule mwenye ndoa akipeleka kesi mahakamani yule asie na ndoa hatambuliki kabsa japo sheria ya mdomo ilisema ukiishi miezi mitatu ni mkeo , nina uzoefu na hili , mwisho mimi ni mwehu ila nina uzoefu na wehu wangu
 
Usiwaone wajinga Wana hoja

Labda km na wewe huna mke hujui..Stress za kijinga wanazopitia wanaume ..

Hawa ndugu zetu kwa sasa ni kama they have nothing to offer zaidi ya stress....

Ishu hapa sio kukataa ndo ishu ni wanawake wakuoa hamna..

Mi nina mke lakini hata Leo hii akisema anaondoka sijioni km nimepoteza kitu cha msingi maishani yaani kwanza sijioni kama nitapungukiwa kitu..

Yaani ukikaa chini ukasema hivi huyu ana msaada gani specific kwenye Maisha yangu kiujumlA sioni labda ile tu Ana mke huyu, jamaa Kaoa basiiiiiii..

In fact, nilivyokuwa bachela ndo nilikuwa na enjoy maisha zaidi kuliko nilivyooa..

Wanawake hawana Cha kutoa huu ndo ukweli mchungu ila tutaona km biblia inadanganya.Maana iliandika ipo siku wanawake watalazimisha Ndoa watakuja Kumi kumi ila watakosa mume..

Madogo ni KWELI,msikimbilie Ndoa.Wengi wenu huko ndo mtaenda kuharibu maisha yenu..

Ndoa Ina mtaka mwanaume ajitoe kwa Kila kitu wakati mwanamke hana Cha kutoa..mpumbavu tu na asiye na mke ndo atasema wasiooa wajinga..

Kuoa ni kubahatisha mwenye bahati tu ndo atapata mke bora..Jiulize una bahati????

Kuna mtu rahisi ku mplease km mwanaume??? vitu basics tu chakula kitamu ,uchi, heshima ila 75% hawapati hivyo vitatu.
Unachoongea ni kweli..ndoa ni nzuri ukipata mke Mwenye kujali na Mwenye akili....

Kwa kifupi kuna vitu vinaumiza sana...inaumiza hasa kama na wewe mwanaume una akili...

Binafsi Kwa upande wangu ambacho sitakuja kumvumilia mwanamke ni uzinzi..nikigundua anafanya usaliti..hapo ndio mwisho wa safari.

Matukio yao mengine inabidi ujifanye fala ili maisha yaende tu.

Imagine mtu anaweza akakosea jambo ila hataki kuelekezwa na hata ukimuelekeza mnaishia kugombana tu. Mwanamke anakuwa na misimamo ya kijinga na kujiona mjanja. Yaani anakubali aondoke nyumbani na mtoto Mwenye miezi minne na nusu kisa tu mwanaume umeamua kumshauri vizuri mkeo. Inasikitisha sana.

Matokeo yake, ukisema utumie hasira hapo unakwenda kuwaumiza watoto wadogo wasio na hatia. Kwa hiyo inabidi upotezee ili maisha yaende.

Mtu unaaamua kupotezea,unatoka job unafika home anaanza kujiongelesha na kukuigizia kajishusha..inamaana wewe mwanaume usingejishusha ndoa ilikuwa inakwenda kuvurugika na kutesa watoto...can you imagine? Inaumiza sana.

Kifupi binafsi nilishaamua kudharau tu na maisha yanasonga.

Ninafanya hivi kwa kuangalia maisha ya wanangu na namna ya Mimi nilivyokomaa hadi kufikia hapa..sasa ukisema uanze kupambana na mke wa staili hii it means watoto wanakwenda kuteseka na wewe hutakuwa na amani...itakuwa ngumu kusimama ikiwa tayari watoto wadogo wako sehemu fulani wanahangaika kwa sababu ya ujinga wa mama Yao.

Kwa vijana wenzangu ambao hawajaingia kwenye ndoa, wamuombe Mungu wapate wake waelewa na wenye ustaarabu. Ukimwambia jambo atii, sio mwanamke mbishi mjuaji..inatesa sana.

Tofauti na hapo unaishia kuteseka tu.
 
Sasa kuna ubaya gani mkuu mbona ninyi wanaume mnaingia kwenye ndoa kwa lengo la kupikiwa, kufuliwa, mke akulee maisha yako yote na kukuzalia watoto au hayo majukumu mnayaona mepesi kuliko yenu
Hayo umetaja wala si majukumu ya mke ila ni vitu mwanamke anafanya kama sehemu ya majukumu yake sababu yeye ndie anakuwa nyumbani.

Ukitaka kujua hilo tazama hata nyie mkishakuwa na familia na mpo makazini huwa mnakwenda tafuta wanaume au house boys kuwafanyia hayo majukumu?

Si huwa mnatafuta mabinti yaani house girls ili wawafanyie, why huwa mnachagua wanawake wenzenu kuwafanyia majukumu ambayo ninyi huwa mnakwepa na kusema mnaonewa kuyafanya?!
 
Sawaaa....lakini kama hamjafunga ndoa nani atakuwa msimamizi wa malinza watoto ukiwa haupo??
Kaka?, Dada?, Mjomba?
Watoto wako watakuwa hawana chao na mama atakuwa hana nguvu ya kuwapambania.
Tuangalie mbali zaidi ya tamaa zetu
Msimamizi wa Mali za familia ni huyo mwanamke nilie zaa nae kama nitakufa ila hii mentality ya mwanaume kufa wakwnza mmi siiungi mkono kamwe , akija zulumiwa ni karma tu imefanya kazi yake , hakuna kinachotokea bila sababu.
 
Mkuu hzo imani za din zimeletwa na wageni tu hazina maana yoyote , mkuu haki sawa bila usawa wa pande zote imeharibu hzo ndoa za mujibu wa sheria , mwanaume amekuwa akikandamizwa inapotokea migogoro ,hyo ndoa uliyofunga itakuumiza vbaya mno bila kuleta haki kwa upande wako , ndoa ni taratibu za zamani na zilikua zinatumia mifumo ya zamain ili zidumu bora ata ndoa za waislamu kidgo zina maslai kwa upande wa mwanaume kidgo.
Yaani dah acha tu...na hili suala la usawa kwa wote mzee..mwanamke sijuii ajitafutie na awe na nguvu kiuchumi ndoa hazikaliki....full vurugu mechi....

Sijui kwa kizazi kijacho..maana mwaume ambacho ndicho kichwa Cha nyumba kinakatwa...unakuta mwanaume anamasharubu mwanamke nae anamasharubu...hajulikani nani Mwenye sauti nyumbani...unapanga nae anapanga....
 
Tatizo Zinaa imekua rahisi sanaa na inazidi kurahisishwa kadri siku zinavoenda ndo mna mtu anaona ya nini kuoa kma kile ambacho angekipata ndani ya ndoa anakipata sasa

Ndo wale wanosema

Kwanini nifuge ng'ombe wakati maziwa napata

Ila kumbuka
#uzinzi haujawahi kumuacha mtu salama#
Mkuu ukiwa na ndoa ndo unafanya uzinzi ukichepuka
 
Msimamizi wa Mali za familia ni huyo mwanamke nilie zaa nae kama nitakufa ila hii mentality ya mwanaume kufa wakwnza mmi siiungi mkono kamwe , akija zulumiwa ni karma tu imefanya kazi yake , hakuna kinachotokea bila sababu.
Siyo kwamba niimani kwamba utakufa mapema..Ni insurance incase ikitokea.
Kumbuka karma yekesho inaundwa na maamuzi, matendo yetu ya leo..
Kama akizulumiwa ni kwamba kuna sehemu ulikosea wewe, karma haikosei.
 
Yaani dah acha tu...na hili suala la usawa kwa wote mzee..mwanamke sijuii ajitafutie na awe na nguvu kiuchumi ndoa hazikaliki....full vurugu mechi....

Sijui kwa kizazi kijacho..maana mwaume ambacho ndicho kichwa Cha nyumba kinakatwa...unakuta mwanaume anamasharubu mwanamke nae anamasharubu...hajulikani nani Mwenye sauti nyumbani...unapanga nae anapanga....
Mkuu ndoa zilikua na manufaa kwa kipindi cha zamani tu ila ndoa za sasa hazina manufaa hasa upande wa mwanaume , ukiwauliza faida za ndoa kwa mwanaume wa sasa na ndoa za sasa hakuna hata mmoja anajibu ila faida kwa mwanamke ni nyingi mno tena zenye kumuumiza mwanaume ,ndomaana wenzetu wanafunga ndoa za mkataba kila mmoja awe na faida fulani baada ya mkataba biashara inaishia apo.
 
Siyo kwamba niimani kwamba utakufa mapema..Ni insurance incase ikitokea.
Kumbuka karma yekesho inaundwa na maamuzi, matendo yetu ya leo..
Kama akizulumiwa ni kwamba kuna sehemu ulikosea wewe, karma haikosei.
Ndoa itakua nzuri kama itaweka usawa kwa wote bila kubagua pale kutakapo kuwa na changamoto fulani ,japo mimi sio muislamu ila kwa sasa ndoa zenye faida kwa mwanaume ni za kiislamu tu.
 
Sasa ulitaka mwanamke ndo akuhudumie wewe? Na majukumu ya kubeba mimba utabeba wewe sio? Ovyo kabisa ndomana mnaolewa na wanaume wenzenu sababu ya kupenda mseleleko pole kwa mama yako ya baba yako.

Punguza makasiriko,kama mnataka 50/50 kubalini kuhudumia familia.
 
Me naona Mshana Jr unakwepa hoja ya msingi hapa kwenye huu mjadala. Si kwamba watu wanapinga ndoa ila hapa ukitazama upande wetu sisi wanaume kuna vitu tunazungumzia hapa na wanawake wanavideflect kama sio kuvikwepa kujibu ile direct.

Kwa kifupi wanawake wanakwepa kuwajibika kwa matendo yao ambayo ndiyo kichochezi cha mdororo wa ndoa.

Sababu hizo ni kama tabia mbovu, umalaya, kiburi, kuwa na watoto kabla ya mahusiano serious, kuweka mbele masilahi yao binafsi wakitegemea kuchuma kwa mwanaume na kuweka kando.


Haya mbona kama yanakwepwa?!
Sijakwepa hoja bali nimejibu kwa ufahamu wangu kisha wewe ukatafsiri kwa mtazamo wako
 
Hapa Mshana Jr aliteleza kwakweli na atutake radhi wanaume wote. Maana kimsingi amezungumza wazo la kike kwa sauti ya kiume jambo ambalo ni batili kibailojia na kisiasa.
Naona sasa umeamua kunitusi kwa kutumia lugha kificho[emoji1545]
 
Back
Top Bottom