Kwa nini tusiwaelimishe hawa wenye sura na maumbo mazuri wawe na tabia njema , ili tuepuke kuoa hawa wagumu huku tukiwasaliti kwa hawa wenye sura nzuri na mashepu , mkuu mshana uzinzi hautakaa uishe kma huta oa mwanamke mzur wa sura na shepu machoni pako na kwa jamii nzima.Usioe mwanamke mzuri sana .. Hao huwa ni mapambo tu ya kufurahisha macho.. Oa wife material
Thamani halisi ya mwanamke utaiona ndani ya ndoa nje ya uzuri wake wa sura na shepu yakeKwa nini tusiwaelimishe hawa wenye sura na maumbo mazuri wawe na tabia njema , ili tuepuke kuoa hawa wagumu huku tukiwasaliti kwa hawa wenye sura nzuri na mashepu , mkuu mshana uzinzi hautakaa uishe kma huta oa mwanamke mzur wa sura na shepu machoni pako na kwa jamii nzima.
wanadhani kuoa ni kuendelea kuona wake zao wakivaa vi skin na kuacha mapaja wazi