Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

Usioe mwanamke mzuri sana .. Hao huwa ni mapambo tu ya kufurahisha macho.. Oa wife material
Kwa nini tusiwaelimishe hawa wenye sura na maumbo mazuri wawe na tabia njema , ili tuepuke kuoa hawa wagumu huku tukiwasaliti kwa hawa wenye sura nzuri na mashepu , mkuu mshana uzinzi hautakaa uishe kma huta oa mwanamke mzur wa sura na shepu machoni pako na kwa jamii nzima.
 
Thamani halisi ya mwanamke utaiona ndani ya ndoa nje ya uzuri wake wa sura na shepu yake
Upendo
Upole
Heshima
Usafi
Usikivu
Mapishi nknk
 
wanadhani kuoa ni kuendelea kuona wake zao wakivaa vi skin na kuacha mapaja wazi
Malezi duni na utandawazi
JamiiForums1713239766.jpg
 
wanadhani kuoa ni kuendelea kuona wake zao wakivaa vi skin na kuacha mapaja wazi

Mipango ya siri namna ya kuimaliza dunia imeanza kutamalaki
 
Back
Top Bottom