Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo huo uongo mkubwa upo wapi ?Umesema hivi...Mimi siishi katika maandiko ya dini yoyote.
Huu ni ubinafsi wa hali ya juuMkuu Mimi naona Maisha ya Mtu kukaa single bila Attachment na Mwanamke ni mazuri Sana
Kula vizuri
Lala vizuri
Sali Sana
Kataa ndoa
Tafuta pesa kwa ajili yako na wazazi na wasiojiweza huu mradi wa Ndoa unawafaidisha wanawake tu.
SinaUna dini?
Mimi naona hawana nguvu za kiume [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo maana wameamua kujificha kwenye kichaka cha kataa ndoa.Na weng inaelekea ni watoto waliozaliwa nje ya ndoa hawajui umuhimu wa familia na ndoa jazia nyamanyama kwenye kukosa malezi hapo
😂😂😂Mimi naona hawana nguvu za kiume [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo maana wameamua kujificha kwenye kichaka cha kataa ndoa.
Kweli hapo sasa ndipo SIJALI anakutana na POTELEA MBALI.Mkuu unapokuja na personal attacks onesha tatizo liko wapi kwenye hoja yangu, wewe ulitakaje ulitaka mwanamke akusaidie kutafuta pesa halafu na majukumu yake afanye peke yake ipasavyo huku wewe ukitafuta pesa tu, au wewe ulitaka iwe vipi
Unalijua lengo la ndoa? Mwishoni umemaliza vizuri sana kwamba unatafuta kwa ajili ya wazazi wako je kama ndivyo unafikiria wewe utakuwa kijana daima au unakumbuka kwamba kuna siku pia wanao watatakiwa kukulea tana waliotokana na familia bora ya mke na mume walioishi pamoja na mkawapa malezi bora? Tujitafakari na tuache ubinafisi.Mkuu Mimi naona Maisha ya Mtu kukaa single bila Attachment na Mwanamke ni mazuri Sana
Kula vizuri
Lala vizuri
Sali Sana
Kataa ndoa
Tafuta pesa kwa ajili yako na wazazi na wasiojiweza huu mradi wa Ndoa unawafaidisha wanawake tu.
Hahaha na hapo ndo tunakuja anachangia kiasi gani kwenye pato la familia??Actually ninyi ndio mnaotumia mihemko badala ya logic, nikikuuliza wewe mwanamke aliyeajiriwa anayetoka saa kumi na mbili asubuhi na kurudi saa kumi na mbili jioni amechoka kama mumewe anawezaje kuhandle majukumu ya nyumbani ipasavyo sidhani kama utanijibu bila kutumia mihemko, zaidi sana utaishia kuniuliza anachokaje wakati hayo ni majukumu yake nami nitajua tu kwamba ndio wale wale
Nimekuattack wapi?Ndio design ya wanaume tulionao hivi sasa kwenye jamii yetu, wabinafsi na wasiotaka kusikia ukweli na wakikosa hoja ndio huja na personal attacks kama hizi, wanawake tuna kazi na safari ndefu sana
Sioni.Soma tena comments zako mkuu
Kama tumekubaliana hapo basi ni sawa kabisa.Mume kuwa na uelewa na kukubali baadhi ya vitu havitawezekana..Ndio mkuu hapa naongelea mwanamke ambaye anatafuta pesa na anachangia pato la familia, kama nilivyosema kwamba ukiona mwanamke pesa yake haiguswi basi ujue majukumu yake ya nyumbani anayafanya hivyo haoni haja ya kusaidia majukumu ya mwanaume wakati ya kwake hasaidiwi, sasa shida inakuja kuna wanaume wanataka mke atafute pesa achangie pato la familia na bado afanye majukumu ya nyumbani huu ndio ubinafsi ninaozungumzia hapa
Hata kanisani Kuna malaya wengi SanaWengi hawajitambui Wana stress za maisha instead ya kutafuta wanawake wenye heshima wanagombana haww wavaa nusu uchi ..Nina rafiki zangu wengi wameoa wale wanawake wa dini haswa wako kweny ndoa zaidi ya miaka 5 wanafurahi .
Sio unaona mwanamke alishawahi kuwa na majamaa kibao huko nyuma unafikria atatulia kwani we ni Nan? ..wenzenu wanaoa wanawake wanajielewa wao ni hao wanapokutana nao bar sijui coco beach wakidanga
Mkuu mshana apo kwenye sura na umbo hicho ni kigezo cha kwanza kam wanawake mwenye sura na umbo hawana tabia zuri bora nikate ndoa kuliko kuoa kiumbe cha Mungu chenye sura ya kiume ,hii itakujengea hisia ya kuona waupinde wapo sahii kama unaishi na mdada mwenye sura ya baba.Tatizo liko hapa
Kukimbilia kuoa
Kuoa kwasababu ya umbo, sura
Kuoa bila kuvhukua muda wa kujiridhirisha kama anakufaa ama la na kama unamfaa
Kuoa bila kujua, kupeleleza background yake, marafiki zake ndugu zake ukoo wake na hata kabila sometimes
Kuna baadhi ya tabia zitajifunua huko mbeleni baada ya ndoa hapo sasa ndio itabidi kutumia akili uzoefu ukomavu na hekima
Binti unayemchumbia atakuwa si chini ya miaka 20, imagine kapitia mangapi mpaka mnaonana?
Usioe mwanamke mzuri sana .. Hao huwa ni mapambo tu ya kufurahisha macho.. Oa wife materialMkuu mshana apo kwenye sura na umbo hicho ni kigezo cha kwanza kam wanawake mwenye sura na umbo hawana tabia zuri bora nikate ndoa kuliko kuoa kiumbe cha Mungu chenye sura ya kiume ,hii itakujengea hisia ya kuona waupinde wapo sahii kama unaishi na mdada mwenye sura ya baba.