DENICE LAURENT
New Member
- Jul 19, 2023
- 1
- 1
Naomba ushauri,
Mimi nikijana wa miaka 24, kipindi nipo kidato Cha nne nilijihusisha na mahusiano ya kimapenzi na mdada wa kidato Cha pili, hatukuweza kushiriki kitu chochote nilipojiunga na masomo ya kidato Cha Tano Muda narud likizo nilikuta binti huyo ashaacha shule kutokana nilikuwa nasoma single sex sikuweza kujizuia nikawa nimeshiriki naye mpk 2020 ambapo tulipotezana Kwa muda
2021 nilikutana nae anatoka hospital mm Niko na mishe mishe zangu Kwa sababu ndo muda huo nilikuwa najiandaa kwenda jkt nikamuulza unatoka hospital umebeba mtoto huyu mtoto wa nan akanieleza uliniacha na ujauzto na huu ni ujauzto wako mtoto anamiez kama sita hivi mimi nikastajaabu na ndoto za kwenda JKT zikawa zimeisha nikaanza kulea huyo mtoto badaye huyo Binti akanieleza tena na kuniambia kipindi unarudi shule kutoka likizo Yako mwalimu Fulani alinitaka kimahusiano akawa ananitisha nikaamua nitoke nae na ninahis hii mimba ni yake sio yake, na alinipa laki 2 nikatoe mimba mm nikakataa.
Na nilichukua hiyo Hela nikafanya inshu za kulea mwanangu na Hela baadhi nikamsaidia mtoto wa jilani aende shule. Nikamwambia kwahiyo itakuwaje akaniambia mpaka sahivi mm ni baba mimi ni mama wa mtoto kama utamkataa kumtunza huyu mtoto nikamwambia mimi siwezi kumkataa ila nitakupa shart nitamhudumia Kila kitu ila niruhusu niende chuo nikimalza chuo nitakuoa na nitakuachia Hela ya mtaji umtunze huyo mtoto lakini nikiwa napata likizo nitakuwa nakuja kuwaangalia au nikibananika mimi utaniambia niwatumie Hela mje kwangu
Miaka imeenda mpaka sahivi mtoto anamiaka mitatu tumeish vizuri wa upendo kujaliana na Kila kitu kama familia 😍 kabla sjaenda chuo niliwambia ndugu zangu baadhi kuhusu hili japo wakanipongeza na wakaniasa nisifanye kosa la kumsalit na mimi nikafanya hvo
Ila sahivi yule aliempa Hela akatoe mimba anataka mwanae Baada ya kuona mtoto ananawili na kustawi vizuri na anamtaka Kwa nguvu na ananitisha mimi endapo nikikataa baya litanikuta na sijui ni baya gani amepanga kunifanyia na mtoto nampenda namchukulia kama mwanangu maana nimemlea toka mtoto mdogo ndugu MwanaamiiForums naombeni mnisaidie mimi nifanyeje, ukizingatia bado mimi mwanafunzi wa Udaktari mwaka wa 3 Sasa.