Kigamba
Member
- Feb 10, 2021
- 5
- 2
Malezi mengi ya watoto kwa sasa yamekua majukumu ya mama hili linachangiwa na sababu mbalimbali ikiwemo talaka, mimba za utoto, ubakaji,utelekezwaji pamoja na mtindo wa maisha.
Katika mada ya Leo tajikita kwenye malezi ya mama kama mtindo wa maisha.
Wanawake wengi wamekua wakichagua mtindo huu wa maisha kulea watoto wao wenyewe kutokana na sababu nyingi ikiwemo.
1. Mtindo wa maisha. Wanawake wengi wamechukua atua ya kuishi maisha yao wenyewe mbali na familia au kuolewa hili waweze kujichagulia maali pakua muda gani NINI chakufanya na nani wakua naye kimausiano hili limechangiwa na mmomonyoko wa maadili kwa wanawake hivyo kuzaa kisha kuamua kuishi na kulea watoto wao wenyewe na kusababisha vizazi vya watoto ambao wanakusa mapenzi na uangalizi kutoka kwa baba zao.
2. Kiburi. Ndio kiburi ni chanzo kikubwa cha wanawake wengi kuishi maisha yakiuni na malezi ya watoto wao kutokana na kua wakaidi kwa wanaume, kushindwa kujua majukumu yao katika familia na kujiamulia mambo yao wenyewe bila kuwashirikisha waume zao na kusababisha utango na malezi kumuangukia mama.
3. Upepo wa mitandao ya kijamii ni miongoni mwa mambo ambayo yanachachia malezi ya mzazi mmoja hasa mama hili linachangiwa na wanawake wengi kuamini kila wanacho kiona ama kukisikia kutoka kwenye mitandao bila kujua jamii imezungukwa na watu wenye tabia tofauti ikiwemo umalaya, matumizi ya madawa ya kulevya na magonjwa ya akili.
4. Watoto kama mradi chanzo cha mapato. Imekua ni mtindo wa wanawake wasasa kuzaa na wanaume tofauti tofauti na baadae kuachana nao hili kujipatia kipato kupitia wanaume hao kwani kila mwanaume analazimika kutoa maitaji ya mtoto na usipofanya hivyo basi utapelekwa kwenye vyombo vya sheria na kuchukuliwa hatua hivyo kufanya malezi ya wanawake wengi kua ya mlezi mmoja.
5. Mapenzi ya jinsia moja ni miongoni mwa sababu zinazo wafanya wanawake wengi kua ma malezi yao peke yao hili linatoke kwa wanawake wengi kujiusisha na vitendo vya usagaji na utumiaji wa maumbo tofauti kama tango,karoti na chupa za soda hivyo kutojali kuusu malezi ya upande mwingine wa baba kwakua haja zao zimekwisha.
6. Shughuli za kujitafutia kipato imechangia wanawake wengi kulea watoto wao wenyewe kwani wanalazimika kufanya shughuli hizi muda mwingi hivyo kusababisha ndoa zao kuvunjika mfano wanawake wauza mboga,mitumba na viwandani wengine wanalazimika kufanya kazi hadi usiku kujitafutia kipato na kusababisha kutengana na waume na kulea watoto wao wenyewe.
7. Umalaya inaweza kuwa sababu mojawapo ya wanawake wengi kutengana na waume zao au baba wa watoto wao kwa jinsi wanavyo tumia miili yao kujipatia kipato.
Matatizo mengi yanatokea kila siku na kila wakati hila matatizo mengine yanaweza kuipukika ukisha wai jiuliza kwanini wazazi wetu awakuwai kutuonyesha wala kutengana? Hii inamaanisha wenyewe awakuwa na changamoto za kimaisha.
Nazani huu ni muda wa wanawake kuchukua hatua dhabiti mbali na ubakaji,mimba za utotoni, ujane, utekelezwaji wa watoto na akina baba sabubu nyingi za malezi ya mama mwenyewe matatizo ni mama mwenyewe " Tujiangalie tuko pabaya Leo kuliko Jana utusije kupata kizazi cha hivyo na wanaume wasikwepe majukumu yao wanateseka malezi ya wenyewe wenyewe ni mabaya watoto wanapoteza vitu vingi kutoka kwa wazazi wao.

Upvote
3