Malezi ya wazazi wa siku hizi na dosari zake!

Malezi ya wazazi wa siku hizi na dosari zake!

Kuna mtu humu alimpiga kakofi mwanae akaanza kulia yeye na akaapa kamwe hatokuja kurudia ukatili huu akapandisha na bandiko la masikitiko
Hahahahhahahahaha
 
Malezi yamekuwa ni tatizo kubwa sana kwa sasa. Dunia inashangaza sana.

Nna bro wangu ana watoto watatu, wakike wawili na kiume mmoja ambaye ndio wa mwisho. Kiumri wa kwanza ana miaka 22 kwa sasa, wa pili 20, na huyu wa mwisho ambaye ni wa kiume ana 17.

Sasa juzi umeme ulikuwa umekatika ile usiku. Toto la kiume linaogopa kulala pekeake na hilo giza, bila aibu likaenda kulala chumbani kwa dada zake, na wao bila aibu wakalikaribisha.

Hivi hawa kesho wakiwa akina mama watakuwa ni mama wa aina gani ? Na huyu jamaa atakuja kuwa baba wa aina gani kama kwa umri wa miaka 17 haweze kulala pekeake umeme ukikatika.




Hilo litoto la kiume kuna shida mahala liundiwe tume.
 
Inasikitisha sana...

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo...

Na ni aibu sana kwa mzazi mwanao mwenyewe kukuletea ununda mbele za watu...


Cc: mahondaw
 
Sio kwa ndugu wa sasa!Atamleq wq kwake sio wa kwako!
Nakumbuka miaka ya nyuma ikitokea msiba na marehemu akawa ameacha watoto basi ndugu watafanya hima kugawana kwa ajili ya kuwalea watoto wa marehemu

Na watawapa malezi bora kuanzia mahitaji yao hadi maadili ya kimaisha, lakini siku hizi vikao baada ya misiba ni mivutano ya kugawana mali alizoacha marehemu!
 
Unajiita shetani wakati unasema hayupo mbona unatuchanganya mkuu tuelewe kipi?
Kwani nikijiita "Kiranga Jasusi Willy Gamba" maana yake Jasusi Willy Gamba yupo kweli?

Nikisema "Le Mutu Lodi Lofa" maana yake Lodi Lofa wa SANI yupo kweli?

Your logic has a non sequitur reasoning.
 
Kwani nikijiita "Kiranga Jasusi Willy Gamba" maana yake Jasusi Willy Gamba yupo kweli?

Nikisema "Le Mutu Lodi Lofa" maana yake Lodi Lofa wa SANI yupo kweli?

Your logic has a non sequitur reasoning.
Ukiijiita ivyo sijui mke wa mkuyenge gamba. Ni ndio utakuwepo kweli na utakuwa ni wewe hapo uliyejiita.
 
Back
Top Bottom