Malezi ya wazazi wa siku hizi na dosari zake!

yule mtoto ni kati ya miaka 5-7 hivi yaani nilihisi aibu mimi
 
Mm mwanangu wa kiume sijawah kumchapa wala kumgombeza ila ananiogopa kuliko anavyomwogopa mama yake anaemchapa mara kwa mara akikosea, kauli yangu anaiheshimu hata iweje kama hajaridhika ataishia kutoa machozi kimya kimya sio kwa makelele atakunja sura tu kuanza kulia kumkimblia mama yake, ila ajabu ananipenda kuliko maelezo nikiwa nae hataki niende popote anataka nikae nae tu, mke wangu anasema namdekeza ila in reality i just have strong bond na yeye down in my heart ila anaheshimu kauli yangu namuombea Mungu anipende na kuniheshimu hvyo milele
 
Weee wengine mpaka miaka 23 ukizingua mama anakuzibua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Msamehe bure amesahau Ile kauli ya "asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu"
hajui hata ni kwanini huwa tunasema "lugha mama" na sio "lugha baba'
 
Mlee mtoto katika njia ipasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee.

Mtoto usimnyime mapigo,ukimpiga kwa fimbo hatokufa,bali utakuwa umemuweka katika njia sahihi.

Mungu nisaidie siku nikipata mwanangu nimlee katika njia sahihi,
Sitaki kuwa too harsh,pia sitaki kuwa too kind.
 
Aisee..acha kabisa na mtoto wa kwanza inakuwa kama wewe ndo zana, mama alikuwa anapiga mpaka anang'ata....kifupi yeye alikuwa ndo uncharge...! Baba hakuwa mpigaji kiviile lakini akiunguruma huko asiye na kosa mwenye kosa wte ni kutetemeka tu...
 
Mh, hii ni hatari sana mkuu
 
Halafu we Nyambonde hebu nitafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…