Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Trust me malezi ni babaKwasababu mpo na watoto muda mwingi na nyie ndio mnadhani kumlea mtoto ni kumdumia material needs tu na sio manners na heshima na adabu
Kuna toto moja huku kwetu ni wa kiume ana miaka 6 analishwa chakula na kupikiwa chips kila akitakaNimeikumbuka story ya "Junior Junior Stop" iliyowahi kuletwa humu jamvini...
Cha kushangaza, wazazi wa hivyo wanadekeza watoto ila mtoto wa mwingine(asiyekuwa wake) anamuadhibu na kumnyanyasa sana.
Shule ya kwanza ya mtoto ni mama. Mwalimu wa kwanza wa mtoto ni mama. Lea mtoto sio kumdekeza kama yai la kuku wa amadoriAisee yaani umeandika nilichokuwa naenda kukiandika. Sijui kwa nini kila kitu wanatupiwa kina mama
Nimeikumbuka story ya "Junior Junior Stop" iliyowahi kuletwa humu jamvini...
Cha kushangaza, wazazi wa hivyo wanadekeza watoto ila mtoto wa mwingine(asiyekuwa wake) anamuadhibu na kumnyanyasa sana.
Qumamae ningerarua huyo mtoto kama kibaka. Kuna upuuzi unaendelezwa wazazi wanachukulia poa, wanadekeza watoto. Kwa namna mama alivyotulea na namna ninavyomuona anavyodeal na wajukuu zake....heshima kwake. Ukizingua anakushushia kipigo. Kesho utapata akili kuwa nikimzingua atanichapa.
Umemaliza kila kitu NumbisaWazazi wa kike wanachangia sana malezi mabovu kwa watoto. Tutamlaumu baba mtu ila kuna kipindi akiingilia kati ataambulia kauli "leba nilikua mwenyewe na manesi usinitesee mtoto" "haukunisaidia kupush" "huujui uchungu na maumivu ya kujifungua"
Akina mama wa siku hizi wanadekeza vibaya. Na zile kiss za mdomo uchafu mtupu
Wazazi wetu walikua very proud mtoto wao anaposifiwa kua na adabu na heshima mbele ya watu wengine ikiwemo wageni kama wametembelea nyumbani kwao. Siku hizi mtoto kua na adabu sio priority ya mzazi.. Hawaelewi kua mtoto aki behave ni sifa kubwa sana kwake mwenyewe na kwa mzazi piaDuu! mleta uzi umenigusa.
Kwanza niseme uwazi mimi ni muumini wa kanisa katoliki. tuna utaratibu wa kusali jumuiya. kwa maana ya kusali nyumba kwa nyumba za wakatoliki kulingana na utaratibu wa kanisa.
Kuna siku tulienda kusali kwa dada mmoja ni Dr. wa hospitali ya BMC, uwiiiiii jamani wale watoto walinikera!!
Yaani sala zinaendelea mara wanakwenda pale mbele kwenye "altare" wanaanza kuvuta vitambaa, mishumaa, bibilia n.k" mara vinaanza kuimba nyimbo za shuleni, mara vinatuambia tunyanyuke kwenye viti vya nyumbani kwao, mama yao sasa ambaye ni Dr. yuko tu "yuuu, yuuuu plisi, plisi...)
Nimeapa siku nyingine wakipanga kusali jumuiya kwa Dr. siendi maana nitawafinya wale watoto wake
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘
Kama kuna ukweli flani kwenye hoja yako mkuuTrust me malezi ni baba
Mtoto wa kike akikosa malezi ya baba hawezi kuwa sawaKama kuna ukweli flani kwenye hoja yako mkuu
Nakubaliana nawe mkuuMtoto wa kike akikosa malezi ya baba hawezi kuwa sawa
Hahah hilo toto halichelewi kukuuliza hivi aunt unandoka kwetu lini?Duu! mleta uzi umenigusa.
Kwanza niseme uwazi mimi ni muumini wa kanisa katoliki. tuna utaratibu wa kusali jumuiya. kwa maana ya kusali nyumba kwa nyumba za wakatoliki kulingana na utaratibu wa kanisa.
Kuna siku tulienda kusali kwa dada mmoja ni Dr. wa hospitali ya BMC, uwiiiiii jamani wale watoto walinikera!!
Yaani sala zinaendelea mara wanakwenda pale mbele kwenye "altare" wanaanza kuvuta vitambaa, mishumaa, bibilia n.k" mara vinaanza kuimba nyimbo za shuleni, mara vinatuambia tunyanyuke kwenye viti vya nyumbani kwao, mama yao sasa ambaye ni Dr. yuko tu "yuuu, yuuuu plisi, plisi...)
Nimeapa siku nyingine wakipanga kusali jumuiya kwa Dr. siendi maana nitawafinya wale watoto wake
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘
Labda tungejadili kwanza,malezi ni nini?Mtoto wa kike akikosa malezi ya baba hawezi kuwa sawa
Ukianza kumwelekeza mapema zuri na baya wala hutalazimika kutumia fimboWrite your reply...
me naombaga tu mungu aniepushe nisije kuuwa toto la mtu.
mama yangu mkubwa watoto wake ni kisanga, toto linakwambiya "pisha sehemu yangu"
saivi nna kitoto kimoja bado kidogo ngoja nianze kukikunja mapema
ni kweli mkuu ila mtoto anakaa na mamake me naendaga kumuona na mambo mengine.Ukianza kumwelekeza mapema zuri na baya wala hutalazimika kutumia fimbo
Vilikuwa vinatusukuma kwenye viti "tokeni kwenye viti vyetu" agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrh yaani hadi sala zinaisha mie natamani kuwakoa makwenzi. hahahahaahHahah hilo toto halichelewi kukuuliza hivi aunt unandoka kwetu lini?