Malezi ya wazazi wa siku hizi na dosari zake!

Malezi ya wazazi wa siku hizi na dosari zake!

nakumbuka kuna mama mmoja alinipa mtoto wake nimpakate yeye akawa amesimama mbele yetu mtoto akaanza kumshika kalio mi nikamtoa mkono wake haraka kakaniangalia kwa hasira akarudisha mkono pale huku anapapasa kabisa yule mama akageuka akamuangalia mtoto wake halafu akageuka mbele huku mtoto akiendelea kuchezea tako la mama yake mmama wa pembeni yangu ndo akaanza kujibizana na yule mmama ikawa gumzo kwenye gari watu wote kimya kusikiliza ugomvi
Mi nikamuweka mtoto kwenye siti niliyokaa nikashuka tu kituo kilichofuata
 
Wazazi wa siku hizi walilelewa na nyinyi wazee wa siku hizi. Hence matatizo yao yanatokana na malezi mabaya/mazuri mliyowapatia.
 
Ukiijiita ivyo sijui mke wa mkuyenge gamba. Ni ndio utakuwepo kweli na utakuwa ni wewe hapo uliyejiita.
Unalazimisha mambo.

Thibitisha kwa hoja zilizojengeka katika uthabiti wa kimantiki kwamba yule mtu anayejiita Kipepe hapa JF, kwa kutumia kibonzo cha Kipepe, kwa kujiita hivyo Kipepe anakuwa Kipepe wa gazeti la SANI kweli.

Your ridiculous notions are only exceeded in foolhardy dispoaition by your lack of a coherent reasoning.
 
Ukiijiita ivyo sijui mke wa mkuyenge gamba. Ni ndio utakuwepo kweli na utakuwa ni wewe hapo uliyejiita.
Unalazimisha mambo.

Thibitisha kwa hoja zilizojengeka katika uthabiti wa kimantiki kwamba yule mtu anayejiita Kipepe hapa JF, kwa kutumia kibonzo cha Kipepe, kwa kujiita hivyo Kipepe anakuwa Kipepe wa gazeti la SANI kweli.

Your ridiculous notions are only exceeded in foolhardy disposition by your lack of a coherent reasoning.
 
Wazazi wa kiume wanakuwa wapi katika malezi?
Ina maana haujui siku hizi watoto wa kike wanakauli mbiu yao kuwa anasoma anatafuta kazi halafu anatafuta mtu wa kuzaa nae tu then maisha ya kudanga yanaendelea..... Au haujui?!

Haya ndio matokeo tunakuwa na watoto wenye matatizo..... Picha ndio kwanza linaanza kuna mengi sana mtakuja yaona huko mbeleni.
 
Kuna community zingine kama wahindi na hata wazungu huwa hawawapigi watoto lakini the way wanavyokwenda nao mtoto anafata vile mzazi anavyotaka kutokana na culture yao, watoto wa kizungu tunavyo waona mienendo yao ni kutokana na utamaduni wa jamii nzima, tatizo ni sisi waswahili tunaotaka kuiga, na mchanganyiko wa uzungu na uswahili unatoa tabia ya ajabu
Wazungu au wahindi wa wapi hao unawasemea samahani
 
Nakazia hapa..... Kuna jirani yangu ana mtoto hapa wa miaka kama mitano hivi toto halielewi lile jamani anamtukana mama yake mama nae anacheka tu, akimtuma kitu hataki yaani anamjibu mamake atakavyo.... Ukiona mtoto huyo anachapwa basi na babake sio mamake

Nilimuuliza siku moja ( mama nonino) malezi gani haya unampa mtoto? Anajichekesha tu hana cha kujibu... Kwakweli wamama ndio wanaoweza kunyoosha watoto au kulemaza watoto sababu Muda mwingi wanashinda nao wao....
Ungemwambia kama hautamkanya mtoto wako basi jamii itamkanya kwa niaba yako na haitakuwa kwa namna yako jamii ndio itaamua namna itafanya....
 
Hii ndio sababu moja wapo iliyo changia 'Jamii kuwa na watu kama kina amber rutty. Mariam birian. Juma okelo. Na vijana wengine wanaoshinda mitandaoni na kutukana watu matusi mazito mazito na kashfa juu Wema sepetu akiwa ni moja ya product ya malezi ya aina hiyo "

Jamii inapokuwa na majority kubwa ya watu wenye Tabia hizo. ..Taifa linaingia kwenye dosari kubwa na hatimae Lita onekana kuwa ni Taifa la watu wa hovyo ..wasiojua mantiki ya ustaarabu
Kweli kabisa
 
Bahati mbaya sana wanaopigania maadili kwa watoto wanaonekana wamepitwa na wakati kwa hiyo kama ni jahazi la maadili limeachwa tu lifuate upepo utapolipeleka

Miaka kadhaa ijayo zitakuja sheria kama za nchi za magharibi, kwamba mtoto akiadhibiwa na mzazi anaenda kushtaki ustawi wa jamii na mzazi anaadhibiwa[emoji2]
Zimeshaanza kwani haujasikia ustawi wa jamii na wizara ya elimu wametoa tamko kuwa hairuhusiwi kumtandika mwanafunzi
 
Jumapili iliyopita nilihudhuria kwenye msiba wa ndugu wa rafiki yangu, Miongoni mwa waombolezaji alikua dada mmoja mwenye miaka kama 26-30, alikuwa na mwanae wa kama miaka minne hivi

Sijui ilikuaje lakini mara yule dogo akaanza kulia na kisha kumvurumishia ngumi na mateke mama yake. Mama mtu akabakia kusema tu " Brian stooop banaa". Mpaka mama mmoja alipokuja akamwambia hiyo ni aibu mwanao hata kama ni mdogo unamuachia akupige hivyo hebu ingieni kule chumbani mkabembelezane

Watoto wote wadogo sio ajabu kuwa na utundu lakini utundu mwingine nahisi kama ni wa kukosa adabu na unaendekezwa na wazazi hasa wakike.

Nimewahi kushuhudia mtoto wa chini ya miaka mitano akiipasua simu ya mama yake kwa makusudi kwa kuibamiza chini na mama mtu anasema "mmmh leo sijui kakasirika nini huyu!" halafu akaanza kumbembeleza!

Kuna mtoto wa shangazi yangu aliwahi kumtupia usoni mfuko wa chips mama yake baada ya kugundua alicholetewa sio alichomuagiza wakati anaenda kazini!

Hapo kwenye msiba baada ya tukio la huyo mama na mtoto watu walisema mengi sana kuhusu dosari za kimalezi za wazazi wa kike wa siku hizi. Kuna mzee mmoja akawa anasema dunia inavokwenda huko baadae hayo mapenzi ya mama na mwana yanaweza kufikia hatua ya aibu zaidi hata mama "kumuonjesha" mwanae atakapo balehe

Sina hakika kama haya mambo ya kudekeza watoto kiasi hiki yalikuwepo zamani ila nahisi mengine ni kuwapotosha watoto kwa kuwapa malezi yasiyofaa.
Tumeiga mila za kimagharibi, mimi watoto wangu hata nikiweka pipi mezani naikuta watasema tu ya baba na hakuna wa kuichukua, hata simu wanachezea za mama yao za kwangu hawazishiki labda iite ndo ataniletea. Tatizo ukimsikiliza sana Mwanamke utaharibu watoto, na wanawake wa sikuhizi maboya sana katika malezi wanazani kumdekeza mtoto ndo upendo.
 
Nimeshawahi kuona mwanamke anahaha kumuomba radhi mwanae mdogo kisa mtoto kakasirika baada ya yeye mwenyewe mama mtu kumsema aache kuwatolea lugha chafu watu wazima!

Na hata hizo guts za kumsema ilikua ni kwa sababu watu waliotolewa lugha chafu na mwanae ni viongozi wa dini katika kanisa analosali huyo mama!
 
nakumbuka kuna mama mmoja alinipa mtoto wake nimpakate yeye akawa amesimama mbele yetu mtoto akaanza kumshika kalio mi nikamtoa mkono wake haraka kakaniangalia kwa hasira akarudisha mkono pale huku anapapasa kabisa yule mama akageuka akamuangalia mtoto wake halafu akageuka mbele huku mtoto akiendelea kuchezea tako la mama yake mmama wa pembeni yangu ndo akaanza kujibizana na yule mmama ikawa gumzo kwenye gari watu wote kimya kusikiliza ugomvi
Mi nikamuweka mtoto kwenye siti niliyokaa nikashuka tu kituo kilichofuata
Bilashaka huyo mtoto hakua mtoto mchanga. Na huyo mama anaechezewa kalio anaona kawaida tu! Pengine kamzowesha hivyo siku nyingi sasa mama mtu haoni aibu kuchezewa kalio hadharani

Nakubali maneno ya yule mzee kwenye msiba kwamba vizazi vinavyokuja huko baadae yawezekana mtoto "akaonjeshwa" ili apajue alipo tokea eti ikiwa ni ishara ya mapenzi ya mama kwa mtoto! Dunia inakwenda kasi sana
 
Ungemwambia kama hautamkanya mtoto wako basi jamii itamkanya kwa niaba yako na haitakuwa kwa namna yako jamii ndio itaamua namna itafanya....
Ukitoa maneno hayo utaambiwa unamuonea kijicho au unamchuria mtoto wa mwenzio, usipopewa tusi kubwa basi utaambiwa zaa wa kwako halafu ndio umwambie hayo unayoyasema
 
Zimeshaanza kwani haujasikia ustawi wa jamii na wizara ya elimu wametoa tamko kuwa hairuhusiwi kumtandika mwanafunzi
Dah! Kweli mkuu yameshaanza kupenyezwa kwenye mifumo yetu rasmi ya kulea watoto kama huko mashuleni

Tatizo ni kwamba athari zake zinakuja kidogokidogo na by the time tunagundua kua tulifanya makosa itakua tumechelewa sana maana products za mifumo tunayowalelea watoto wetu itakua ishatuzalishia jamii isiyojitambua kimaadili ikiwemo kutuletea hadi mashoga
 
Back
Top Bottom