Hahahaha Mkuu hata kama ndio ushindwe kuuliza? Vipi kama haja umekubana inamaana utajipupulia kisa unaogopa kuuliza huduma ya choo ilipoNimelelewa kwenye mazingira ambayo sikupewa nafasi ya kuchanganyika na watoto wenzangu. Baada ya kuoga na kupaka mafuta ilikuwa ni kukaa ndani hadi muda wa kula usiku. Sikuwahi kuwa na marafiki wa kucheza nao, kupiga stori au kufanya mambo ya kawaida ya utotoni.
Baada ya kuanza maisha kujitegemea, naiona athari yake. Sina ujasiri wa kuanzisha mazungumzo na watu au kujichanganya nao kirahisi.
Wengi hunitafsiri vibaya, wakidhani nina majivuno au dharau, kumbe ukweli ni kwamba ninapata hofu na kukosa ujasiri ninapokuwa mbele za watu.
Nakumbuka siku moja nilipotea maeneo ya Kariakoo. Badala ya kumuuliza mtu njia, nilizurura kwa masaa mengi kwa sababu tu sikuwa na ujasiri wa kuomba msaada. Jioni ilinikuta bado natafuta njia, hadi nikajikuta nimetokea maeneo ya Posta baada ya kupita kwenye maghorofa mengi.
Je, kuna watu wengine waliokulia kwenye malezi ya aina hii na sasa wanapitia changamoto kama hizi? Mmewezaje kujenga kujiamini na kujifunza kuchangamana na watu?
Kutongoza atasubiri atongozwe hata upwiru anao yeyeKwa hiyo hata kushindwa kuuliza watu kitu mtaani nalo unalaumu wazazi!?
Domo zege jamaaKutongoza atasubiri atongozwe hata upwiru anao yeye
Mpiga nyeto huyo hawezi kupiga sound 😂 ila wazaziKutongoza atasubiri atongozwe hata upwiru anao yeye
Usije ukafikiri ni rahisi kiivyoJitahidi Sasa uanze kujichanganya.
La sivyo utakuwa unateseka sana
HIvi wewe unajua PTSD kweli?Inashangaza sana kuona mtu mzima unasingizia malezi ya miika 15 iliyopita wakati sasa hivi una akili yako timamu ya kujiongeza.
Kwa akili yako ndogo unadhani sijui?HIvi wewe unajua PTSD kweli?
Msiwe mnapenda kuongea faul words kwa watu. Inawaongezea maumivu na anxiety
Kama unajua umechangia utumbo gani hapo?Kwa akili yako ndogo unadhani sijui?
Siyo lazima nitumie lugha unayoitaka wewe kuwasilisha hoja yangu.
Kila mtu amekua chini ya Malezi ya wazazi.Usije ukafikiri ni rahisi kiivyo
Huyu a nahitaji mtu wa kumprogram upya nervous system yake
Pole sana mdogo wangu.Kama unajua umechangia utumbo gani hapo?
Nyie ndo mnaoaminisha jamii mnaelimu kumbe ni vijana wa vijiweni tu