Malezi ya wazazi wangu yameniathiri vibaya sana

pole sana kijana ila wala usiogope iyo hali itajiondoa yenyewe taratibu taratibu kadiri unavoendelea kujifunza kutokana na makosa yako lakini ukiachana na yote kwa yote sisi zetu ni dua tu dont cry
 
Kajichangaye mkuu,ila katika harakati za kutafuta kujichanganya kwako angalia na izo groups usije jikuta umeangukia majani
 
Hupaswi kumlaumu mzazi bali hio ni hali yako mwenyewe uliojijengea,,
 
Pole sana Junior.
 
Wenzio tumelelewa kibandidu,miaka 7 tu tayari najua kuinteract na kila mtu kwenye jamii.
Afu kariakoo ni pakupotea kweli?
Utaweza kukatiza mitaa ya Manhattan au Brooklyne kweli?
 
Unajifunza kutunga hadithi? Shule ulisomea wapi
 
Hilo ni tatizo la afya ya akili, watu wamekujudge sababu kibongo bongo hatuna uelewa wa afya ya akili, hiyo ya kwako inaitwa Social Anxiety Disorder,
Kuna mengi najua umepitia hapo kati hujaandika tu ila wewe umejaribu kurefer na malezi yako ya utotoni inawezekana ndio na inawezekana sio,

Sijajua umri wako, unasoma au unafanya kazi ila for more help nicheki pm ASAP.
 
Watoto wenye laana ya ufisadi wanakutana na homa hizi

Kushindwa kushikana na msingi kuambatana nao

Ila kama hii kengere imelia upo na huruma kwa nature

NB: usijilazimishe kuchangama na wa kisa tu ujipate... kila kitu kwa muda wake.! 5
 
Pole sana,
Kwenye kukua kwako Umekosa mengi sana.
Hata hivyo vipi shuleni hukupata nafasi ya kushiriki mijadala?
 
Acheni kumtisha mwana,

Kuna watu wengi saana kama wewe,

Mwana Anza na hobby, then mazoezi, ukivifanyia kazi hivo utaanza kupata marafiki wapya,

Then itakuwa rahisi kwenda mbele,

Piga hatua moja baada ya nyingine, no rush
 
Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…