Mkuu umewasahau wangindo,nimeishi nao sana hapo liwale wanatabia hii piaKwa watu wa kusini bwana (mwela ndonde na makonde) pasu kwa pasu ndio sheria yao, no matter what no matter how
Mpaka imekuwa kama fashion sasa mabinti wakiolewa wanangoja mambo yakianza kuwa kwenye mstari (ufuta, viwanja nyumba/mashamba na assets) tayari hakutaki anataka talaka
Kwani kuna sheria ya watu wa kusini na watu wa srhemu nyingine za Tanzania..!? Nijuacho, mali inayogawanywa ni ile iliyopatikana wakati mkiwa pamoja, iliyopatikana kabla ya kuwa mke na mume haihusiki kwenye kugawanywa... UNLESS MHUSIKA AAMUEKwa watu wa kusini bwana (mwela ndonde na makonde) pasu kwa pasu ndio sheria yao, no matter what no matter how
Mpaka imekuwa kama fashion sasa mabinti wakiolewa wanangoja mambo yakianza kuwa kwenye mstari (ufuta, viwanja nyumba/mashamba na assets) tayari hakutaki anataka talaka
Ni kweli, kama mtu hana muda wa kuhudhuria mahakamani, anaamua tu PASU KWA PASU halafu anasepa... Maana unaweza kuta mtu anapoteza zaidi ya nusu anayohofia kuigawa kwa kuitumia muda mwingi kwenye kesiSina hakika lakini nafikiri hana haki navyo kwani hamkuchuma wote, pili kwa nguvu zao za jinsia anaweza kukupotezea muda za kwenda mahakamani hivyo kukata mzizi wa fitina kwa usiri bila kumweeleza uza nyumba na kiwanja halafu kimya kimya nunua kiwanja kingine kwa jina la nduguyo na jenga huko
Nilioa mkuu tena na mahali yote ililipwa bila chenga. Kumpiga ni kweli nilimpiga japo ilokuwa hasira na kwa nia ya kurekebishanaMkuu huyu ulioa au uliokota baa?
Je ni kweli ulimpiga?(hata kama ni kofi 1)
Mwambie achukue kila anachoona kinamfaa ili uwe na amani.
Ila hapo zitahesabiwa mali mlizochuma wote.
Hapa atakuwa ametengeneza kesi nyingine......maana nyumba wanayoishi inahesabika kama ya familia. Na mteja kama anajua una mke hatakubali kununua bila kuhakikisha mke karidhiaSina hakika lakini nafikiri hana haki navyo kwani hamkuchuma wote, pili kwa nguvu zao za jinsia anaweza kukupotezea muda za kwenda mahakamani hivyo kukata mzizi wa fitina kwa usiri bila kumweeleza uza nyumba na kiwanja halafu kimya kimya nunua kiwanja kingine kwa jina la nduguyo na jenga huko
Vyote nimeandikisha majina yanguKama alizikuta na umeandikisha kwa jina lako, haina haja ya hofu mkuu
Baba wa binti anatamaa sidhani kama atakubali bintiye apewe robo, kikubwa afate sheria inasema niniTumia hekima zako tu mkuu mmpe japo robo ya hizo Mali kwakuwa ni mama mtoto wako, usimuache mtupu si busara
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kwa namna wazazi wa mke wangu hasa baba yake walivyo nitenda sina hata chembe ya huruma kwake. Kama sheria hairuhusu yy kutopata mgao wowote basi hapati chochote kutoka kwangu. Kiukweli namchukia mke wangu lakini zaidi nawachukia sana sana wakwe zangu. Atabaki tu kupata labda hiyo pesa ya matunzo ya mtoto mpaka mwanangu atakapofikisha umri wa kukaa na mmTumia hekima zako tu mkuu mmpe japo robo ya hizo Mali kwakuwa ni mama mtoto wako, usimuache mtupu si busara
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app