Sina uhakika kama wamelipotezea mkuu. Maana mke yupo kwao na alienda kwa kisingizio cha kufata nguo zake. Lakini nilimsikia baba yake akisema hawezi kurudi mpaka nimfuate mimi.Iko hivi. Hilo la kugawana Nusu kwa Nusu ni kama wamelipotezea ili kuondoa Ndoa kuuvunjwa kisa mali.
Mwanamke atatakiwa athibitishe mchango wake na ushahidi...
Sijakuelewa umeandika nn hapoMtagawana Ambapo Unaweza Kumfidia Kwa Cash Ama
Kwa namna alivyonitenda tena kwa kushirikiana na wazazi wake, moyo wangu hauko tayari kabisa kumsamehe. Aende tu mtupu. Mwanangu nitaleaTumia hekima zako tu mkuu mmpe japo robo ya hizo Mali kwakuwa ni mama mtoto wako, usimuache mtupu si busara
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
DuuuuKwa watu wa kusini bwana (mwela ndonde na makonde) pasu kwa pasu ndio sheria yao, no matter what no matter how
Mpaka imekuwa kama fashion sasa mabinti wakiolewa wanangoja mambo yakianza kuwa kwenye mstari (ufuta, viwanja nyumba/mashamba na assets) tayari hakutaki anataka talaka
Nilioa mkuu tena na mahali yote ililipwa bila chenga. Kumpiga ni kweli nilimpiga japo ilokuwa hasira na kwa nia ya kurekebishana
Sina uhakika kama wamelipotezea mkuu. Maana mke yupo kwao na alienda kwa kisingizio cha kufata nguo zake. Lakini nilimsikia baba yake akisema hawezi kurudi mpaka nimfuate mimi.
Na mimi nimesema siendi kumfuata maana sijamfukuza. So wanaweza kutumia hicho kigezo kwa kusubili muda mrefu na nisiende wakamshawishi binti yao kuja kudai talaka kwa nguvu.
Kwa namna alivyonitenda tena kwa kushirikiana na wazazi wake, moyo wangu hauko tayari kabisa kumsamehe. Aende tu mtupu. Mwanangu nitalea
Hao wakwe si wema watamletea shida zaidi huko mbele.Sasa ulimpiga ukataka asitafute haki yake?
Ulitaka tu akuchekee
Kweli kurekebishana mpaka upige
Nina tatizo zaidi na wakwe zako. Naomba nimwite babamkwe wako mpuuzi. Ukiona mzazi kwenye ndoa ya mwanae (wa kiume au wa kike) anaegemea upande mmoja jua hilo ni janga.
Ila inaonekana wee huna adabu na mbabe na hujui maana ya mke na ndoa.
Kwa mila zetu tumezoea mume kumfata mke kwao hata Kama katoroka, utawekwa kitimoto kama mke wa kurudi basi atarudi kama si wa kurudi hupewi.
Kwa jinsi ulivyo....mpe tu talaka....hakika kapata mume kichomi.
Kama kweli Mali alizikuta basi ni zako , ila atapata asilimia ndogo hata 10 hivi, hatotoka bure.
Kweli kabisa mkuu ndoa yangu kwa 99% imevunjwa na wakwe zangu na hio 1% ndo mchango wa mke wangu kwao ili kufanikisha kuivuruga ndoa yake. Wacha wamuoe wao sasa.Nina tatizo zaidi na wakwe zako. Naomba nimwite babamkwe wako mpuuzi. Ukiona mzazi kwenye ndoa ya mwanae (wa kiume au wa kike) anaegemea upande mmoja jua hilo ni janga.
Nani alikwambia haki ya ndoa inapatikana polisi au mahakamani. Ingekuwa hivo kusingekuwa na ndoa hata moja ya kuvunjika. Yaani ukimbilie polisi kabla ya kupata hata suluhu ya wazazi? Et unaenda kutafutasijui haki ya ndoa. Kwa mawazo yako haya ww ni takatakaSasa ulimpiga ukataka asitafute haki yake?
Ulitaka tu akuchekee
Kweli kurekebishana mpaka upige?
Msamehe mkeo, samehe wakwe muendelee na maisha na uache tabia ya kupiga.
Hakuna my perfect...unaweza kuta utayemuoa tena akawa mwiba kuliko huyo.
Kwenye ndoa Kuna ups and downs nyingi sana.
Nani alikwambia haki ya ndoa inapatikana polisi au mahakamani. Ingekuwa hivo kusingekuwa na ndoa hata moja ya kuvunjika. Yaani ukimbilie polisi kabla ya kupata hata suluhu ya wazazi???? Et unaenda kutafutasijui haki ya ndoa. Kwa mawazo yako haya ww ni takataka
Mm kweli nimetenda kosa sikatai ila ndo suluhu kwnda polisi? Ina maana hamna namna nyengine kabisa ya kumaliza matatizo zaidi ya kwenda huko?Hakwenda kutafuta haki ya ndoa
Alikwenda kutafuta haki ya kuheshimiwa.....kupiga ni kosa la jinai wala si haki ya ndoa.
Wewe kwa jinsi nilivyokusoma ndio takataka....unaona mwenzako katenda kosa lakini wee huoni kosa lako.
Na utavunja utaacha wake wengine tu si huyu labda ubadili tabia.
Mm kweli nimetenda kosa sikatai ila ndo suluhu kwnda polisi? Ina maana hamna namna nyengine kabisa ya kumaliza matatizo zaidi ya kwenda huko?
Pumba kabisa haya mambo ya magharibi mnayoyaleta huku ndo yamefikisha hpa ndoa nyingi kama si zote. Kitu kidogo tu polisi, mahakamani, sijui ustawi ujinga mtupu. Basi kama ndo hivo kuna haja ya kuolewa ba hao polisi maana inaonekana wanajua kuhandle kuliko waume zenu
Siwezi kuacha wala kuchukia kuoa tena et sababu ya pimbi mmoja aliekosa malezi bora ya wazazi wakeHa ha ha ha ha
Nawewe uache tu kuoa basi.
Siwezi kuacha wala kuchukia kuoa tena et sababu ya pimbi mmoja aliekosa malezi bora ya wazazi wake
Mi nafikiri nyie bado mpo hatua ya mwanzo kabisa ambayo ni uchumba. Tofauti ma mm ambae alikuwa ni mke halali kabisa. So kitakacho kugharimu sanasana hapo ni matunzo ya mtoto tu otherwise kama nyaraka za nyumba ulimuandikisha yeyeWAJAMENI, MIE KUNADADA NILIMPENDA NIKAMGAHRIMIA KUSOME CERTIFICATE NA DIPLOMA AKIWA KWAO ILA AKINITAMBULISHA KAMA MCHUMBA HADI TUKAZAA MTOMTO.UCHUMBA HUO UMEDUMU MIAKA 7 NA MTOTO JUU.SIJAWAHI KUAMBIWA MAHALI KWANI MWANAMKE ANASHIDASINA HSDI MAMA MZAZI WAKE NA BAADHI YA NDUGU ZAKE WANAMUOGOKA.MWAKAHUU NIMEJRENGA KAJUMBA DAR NANIKATAKa aje tukae sasa,amekuja na kukaa na mtoto wangu na watooto za dunguze wadogo wawili.sasa nilisafiri nikawa nimemuacha mdogo wangu, na sheji yake sasa mwanamke akaanza mauzauza ya kutomsalimia mdogo wangu mara anasema mdogo wangu asimuguse mtoto wangu/wamke,,mdogo wangu akamuuliza kilichomnunisa, shemiji akamrushia kikombe kimejaa chai, na mdogo wangu ambaye ndo yuko chuo akaondoka kuja kijijini..Najiuluiza hivi nikimfukuza atanidai chochote wakati alikuta ninakiwanja na mshahara wangu ndi nilitumia kujengea nyumba wakati akiwa kwao licha yakujulikana mie ni mchumba wake/mke?
Siwezi kuacha wala kuchukia kuoa tena et sababu ya pimbi mmoja aliekosa malezi bora ya wazazi wake