Mahakama imetoa talaka kwa wazazi wangu, baadae ikaidhinisha Mali zigawanwe! Mali zilizotakiwa kugawanwa ni;
1. Tractor
2, Mashamba
3. Fedha ya kustaafu
Swali: Rufaa ya kupinga kugawana inawezekana? Je, ni sahihi kugawana pesa ya kustaafu iloyoko bank!? Njia gani inatumika kuwagawanyisha pesa na hivyo vitu vingine!?