Mali hizi zitagawanywa kweli?

Mali hizi zitagawanywa kweli?

Ezemelody

Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
29
Reaction score
34
Mahakama imetoa talaka kwa wazazi wangu, baadae ikaidhinisha Mali zigawanwe! Mali zilizotakiwa kugawanwa ni;

1. Tractor

2, Mashamba

3. Fedha ya kustaafu

Swali: Rufaa ya kupinga kugawana inawezekana? Je, ni sahihi kugawana pesa ya kustaafu iloyoko bank!? Njia gani inatumika kuwagawanyisha pesa na hivyo vitu vingine!?
 
Ezemelody

inawezekana kugawana kama wasiporidhiana kwa nani achukuwe nn, vitauzwa halafu pesa zigawanwe. Rufaa inawezekana kama muda haujaisha wa kukata rufaa. Katka kugawana huwa wanaangalia mchango wa kila mwanandoa ktk upatikanaji wa hizo mali, je mali hizo walichuma wote au mmoja alizikuta? Hata mafao ya kustaafu mwanandoa mwingine anahusika kwa nguvu aliyo5umia kumhudumia mwenzie wakati wa ndoa yao
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom