Mali inakuwa ya umma pale umma unapomiliki hisa

Mali inakuwa ya umma pale umma unapomiliki hisa

Labda kabla ya kuijadili mada hii tupate tafsiri ya Mali ni nini.kinachoonekana hapa tafsiri ya Mali ni makampuni.je barabara,maziwa,shule,vyuo,mbuga za wanyama,ardhi nk ni nini.tupate tafsiri ili kuwe na mjadala mpana ktk mada hii.
 
Back
Top Bottom