Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
- Thread starter
- #21
32’ Twiga Stars wanafanya sub ya mapema kipindi cha kwanza
Asante mku kwa kutupa updates, japo mods hawajakutendea haki ya kuupa uzi badge ya live42’ Mali 0-0 Tanzania
🤣🤣Imepigwa shuti hapo naona badala ya kutema kipa wetu ametapika.
Hii team imekuwaje iingie bila wachezaji wote muhimu!?Msouth mgumu kashinda 2-0
Kunaa walio majeruhi na kuna wenye suspensionHii team imekuwaje iingie bila wachezaji wote muhimu!?
Clara
Oppah
Aisha Masaka
Na tumefungwa ukenge mwingi sana
Yah ila sio jambo zuri tunapoelekea kwenye mashindano makubwa kama haya ni muhimu kuwa makiniKunaa walio majeruhi na kuna wenye suspension
FawanewsNaomba mwenye link ya kucheki hii game ya Twiga Stars