Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Si ajabu kuna mtu ananufaika au atanufaika na huo ujinga wa hao ndugu zake.
Naunga mkono hojaSi ajabu kuna mtu ananufaika au atanufaika na huo ujinga wa hao ndugu zake.
Wabantu tuna ujinga mwingi sana kakaWamatumbi tulivyo, tunaweza acha hizo pesa ziozee hapo kwa imani za kifala
Niende sasa nipeni AddressKwenye ulimwengu huu ambao kila mtu anasaka pesa ili aweze kuishi maisha mazuri na ya kifahari, hio ni tofauti kwa familia ya marehemu bilionea maarufu kule Zimbabwe aitwae Ginimbi.
Kama tunavyojua mwamba alipata ajali mbaya alipokua Anatoka kula starehe kwenye besdei ya mwnadada Mrembo flani hivi.
Basi Sasa baada ya kukurukakara za hapa na pale, dada mtu akasema jamani niachieni Mimi hizo mali asilimia 60%. ..na ikawa hivyo...dada akaanza kuponda starehe..akiwa njiani kutokea Tanzania kwenda kwao kusherekea kama si kukumbuka besdei ya kaka yake mpendwa bilionea, dada mtu Akala mzinga, akafariki.
Giza likatanda na familia ikawa imepata HOFU kuu, ndivyo baba mtu akaamua baada ya mazishi ya binti yake aende kule nyumbani kwenye mahekalu ya mwanae..basi amekuta humo fedha nyingi lundo, ila fedha hizo Zina matone matone ya damu, hekalu halitamaniki, magar yamezagaa tu ovyo, vumbi la kufa mtu, kaburi la mwamba lipo tu hapo ..
Baba mtu akaisemesha familia kua hakuna mwanafamilia yoyote ataruhusiwa kushika hizo mali ama kutumia kama unazitaka nenda for your own risk. Basi ndio hivyo majumba yapo tu, magari yapo tu, mapesa yapo tu, hakuna anaetaka kuja kugusa.
Ndugu muachage kimbelembela Cha kutaka kuchukua mali za mtu ambaye hujui kazipataje..kila mtu ana njia aliyochagua kwenye maisha, na zaidi umaskin mbaya.
Endelea kupumzka bilionea Ginimbi.View attachment 3488528