brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,287
Kama hakufata pesa kwanini alikubali kumuacha mpenziwe wa kufa na kuzikana na kukubali kuolewa na jide, pesa zilimuoa.... asante jide aliona mbali kumbe.... alikuwa kama mfanyakazi wake na si mume, very smart jide,na kwa wanawake wengine wenye pesa nashauri kabla hawajaolewa na waume waliowazidi kifedha wasisahahu prenap agreement.... maana wanaume wengi hufata pesa huku wakiwa na wanaowapenda kweli nje ya ndoa,mwanaume simama utafute mwenyewe na si nyuma ya mgongo wa mkeoKwani kosa lake nini huyu Gardiner mpaka unamuita mario? kuoa mwanamke mwenye pesa nikosa?