Mali za jide zazua kizaa zaa

Mali za jide zazua kizaa zaa

Kwani kosa lake nini huyu Gardiner mpaka unamuita mario? kuoa mwanamke mwenye pesa nikosa?
Kama hakufata pesa kwanini alikubali kumuacha mpenziwe wa kufa na kuzikana na kukubali kuolewa na jide, pesa zilimuoa.... asante jide aliona mbali kumbe.... alikuwa kama mfanyakazi wake na si mume, very smart jide,na kwa wanawake wengine wenye pesa nashauri kabla hawajaolewa na waume waliowazidi kifedha wasisahahu prenap agreement.... maana wanaume wengi hufata pesa huku wakiwa na wanaowapenda kweli nje ya ndoa,mwanaume simama utafute mwenyewe na si nyuma ya mgongo wa mkeo
 
Kama hizo stori ni kweli, jambo la kujiuliza hapa ni kwamba ingekuwa gardner ni mke na jide ndo mme, je hao ustawi wa jamii wangeamua hivyo? Manake kuna post humu jamaa analalamika na maamuzi ya ustawi.
 
wengine wote wenye kitabia cha kuolewa na kina mama[/QUOTE]

Hapo tu ndio sijakuelewa.
 
Chukulia kama lady jaydee ndio angekuwa Gardner nadhani wanawake mngetoa povu na mngemuona Gardner mwanaume mnyama ila yote kwa yote piga kazi Gardner una kipaji cha utangazaji kikubwa punguza ubrother man umeshakuwa mkubwa
 
Kwa hiyo mwanaume ukizidiwa ela na mwanamke ni kosa? Kumbukeni nyie mnadai 50/50 haki sawa sasa na nyie muda mwingine mkubali kuhudumia.
 
Je kama mali zing'ekuwa za G Absh halafu L Jd hana kitu, ang'eridhika kuondoka mikono mitupu. Stupid women
 
wengine wote wenye kitabia cha kuolewa na kina mama

Hapo tu ndio sijakuelewa.[/QUOTE]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] na uliosema huelewagi post zangu ulikuwa wamaanishaje?! simply ungeuliza tu unamaanisha nn kusema wanaume wanaolewa na kina mama ningekuelewa nina post karibu 9elf sasa kama huellewi zote huna sabbu ya kuniona niblock usijepata wazim bure[emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]

wanaume wenye kupenda bwerere kujirahisisha kisa mwanamke ana mapene ni zaid ya kuolewa huyu bazazi habash aliacha mke na mtoto kukimbialia pesa ya jide pasipo mapenzi yule mama alilia sa ana
 
Je kama mali zing'ekuwa za G Absh halafu L Jd hana kitu, ang'eridhika kuondoka mikono mitupu. Stupid women
wasingeona in the first place...
yaani km jide kwa sura ile na sbape lile habash asingemuoa ni pesa. imeingilia kati
 
gadner mpaka sasa anafanya kazi unamuitaje marioo, mtu alijisacrifice mpaka kuacha kazi clouds kwasababu hawaelewani na mkewe bado unamuona hafai, wanawake ni wasahaulifu sana
mkuu kuna watu wanaendeshwa Na hisia kuliko uhalisia
 
Hapo tu ndio sijakuelewa.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] na uliosema huelewagi post zangu ulikuwa wamaanishaje?! simply ungeuliza tu unamaanisha nn kusema wanaume wanaolewa na kina mama ningekuelewa nina post karibu 9elf sasa kama huellewi zote huna sabbu ya kuniona niblock usijepata wazim bure[emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]

wanaume wenye kupenda bwerere kujirahisisha kisa mwanamhke ana mapene ni zaid ya kuolewa hujyu bazazi habash aliacha mke na mtoto kukimbialia pesa ya jide pasipo mapenzi yule mama alilia sa ana[/QUOTE]
Husipaniki, mi sikumaanisha sikuelewi kwa mabaya mbona.
 
Kama hakufata pesa kwanini alikubali kumuacha mpenziwe wa kufa na kuzikana na kukubali kuolewa na jide, pesa zilimuoa.... asante jide aliona mbali kumbe.... alikuwa kama mfanyakazi wake na si mume, very smart jide,na kwa wanawake wengine wenye pesa nashauri kabla hawajaolewa na waume waliowazidi kifedha wasisahahu prenap agreement.... maana wanaume wengi hufata pesa huku wakiwa na wanaowapenda kweli nje ya ndoa,mwanaume simama utafute mwenyewe na si nyuma ya mgongo wa mkeo
Jide wamekutana na gadner..jide alikua bd anatangaza clouds kipindi icho.... So hakua na chochote
 
Back
Top Bottom