Kama hakufata pesa kwanini alikubali kumuacha mpenziwe wa kufa na kuzikana na kukubali kuolewa na jide, pesa zilimuoa.... asante jide aliona mbali kumbe.... alikuwa kama mfanyakazi wake na si mume, very smart jide,na kwa wanawake wengine wenye pesa nashauri kabla hawajaolewa na waume waliowazidi kifedha wasisahahu prenap agreement.... maana wanaume wengi hufata pesa huku wakiwa na wanaowapenda kweli nje ya ndoa,mwanaume simama utafute mwenyewe na si nyuma ya mgongo wa mkeoKwani kosa lake nini huyu Gardiner mpaka unamuita mario? kuoa mwanamke mwenye pesa nikosa?
Haa haaa.....unanichekesha ujue!ahahaha mali pekee aliyovuna ni papuche ya jide akomeeeeeeeeeeeeeeeee na wengine wote wenye kitabia cha kuolewa na kina mama
ahahaha mali pekee aliyovuna ni papuche ya jide akomeeeeeeeeeeeeeeeee na wengine wote wenye kitabia cha kuolewa na kina mama
[emoji14] [emoji14] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] sasa je.....Haa haaa.....unanichekesha ujue!
Wachonganishi tu hawana jipya.Hawa ndugu wa Jide hawa......... .
Gardner hajadai, wao yamewapataje?
wengine wote wenye kitabia cha kuolewa na kina mama
wasingeona in the first place...Je kama mali zing'ekuwa za G Absh halafu L Jd hana kitu, ang'eridhika kuondoka mikono mitupu. Stupid women
mkuu kuna watu wanaendeshwa Na hisia kuliko uhalisiagadner mpaka sasa anafanya kazi unamuitaje marioo, mtu alijisacrifice mpaka kuacha kazi clouds kwasababu hawaelewani na mkewe bado unamuona hafai, wanawake ni wasahaulifu sana
karma is bitch, always!mkuu kuna watu wanaendeshwa Na hisia kuliko uhalisia
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] na uliosema huelewagi post zangu ulikuwa wamaanishaje?! simply ungeuliza tu unamaanisha nn kusema wanaume wanaolewa na kina mama ningekuelewa nina post karibu 9elf sasa kama huellewi zote huna sabbu ya kuniona niblock usijepata wazim bure[emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]Hapo tu ndio sijakuelewa.
Hivi nyie wanawake aliyewalaani ni nani hasa?? Kila siku mnapiga kelele usawa usawa. 50 by 50.Safi sana jide, iwe fundisho kwa mamario wote... Songa mbele mdada
Jide wamekutana na gadner..jide alikua bd anatangaza clouds kipindi icho.... So hakua na chochoteKama hakufata pesa kwanini alikubali kumuacha mpenziwe wa kufa na kuzikana na kukubali kuolewa na jide, pesa zilimuoa.... asante jide aliona mbali kumbe.... alikuwa kama mfanyakazi wake na si mume, very smart jide,na kwa wanawake wengine wenye pesa nashauri kabla hawajaolewa na waume waliowazidi kifedha wasisahahu prenap agreement.... maana wanaume wengi hufata pesa huku wakiwa na wanaowapenda kweli nje ya ndoa,mwanaume simama utafute mwenyewe na si nyuma ya mgongo wa mkeo