McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
mkuu mimi sitooa kabisa kama mambo yenyewe ni hayaYaani ni jambo la ajabu sana mimi nashindwa kuelewa hizi sheria za ndoa, hua zinafanya kazi kwa mwanaume tu? Maana najua angekua mwanaume ndiyo mwenye pesa tungeona kasheshe yake.
Mh hiv ww ni mwanamke au mwanaumeHehehehehehehehhe mashabiki wa diamond mpo? ukitaka mwanaume kuolewa tii sharia za kuolewa na mwanamke au yatakukuta yalio kuta Gadina, wapo weng +++++++ Uganda oyeeeeeeeeeee mumeowa kaka yetu kesi Uganda heheheheheheheheeheheh
Hizi mindset ambazo baadhi wanawake wa kibongo wanajazana pumba kichwani na kuona mwanaume si kitu shauri ya mali walizonazo zitawagharimu sana!Kwani kosa lake nini huyu Gardiner mpaka unamuita mario? kuoa mwanamke mwenye pesa nikosa?