Mali za jide zazua kizaa zaa

Mali za jide zazua kizaa zaa

Bi mkubwa ana create stunts kwa ujio mpya sio mbaya lakini hii industry bila kashi kashi kwenye tabloids hauwezi kusimama naamini kesho tutasikia umeonekana na bwana mwingine ilimradi project itengenezewe njia,ni mbinu bora kwa sasa ya kibiashara.
 
Hehehehehehehehhe mashabiki wa diamond mpo? ukitaka mwanaume kuolewa tii sharia za kuolewa na mwanamke au yatakukuta yalio kuta Gadina, wapo weng +++++++ Uganda oyeeeeeeeeeee mumeowa kaka yetu kesi Uganda heheheheheheheheeheheh
Mh hiv ww ni mwanamke au mwanaume
 
Nna hakika laiti kama Gadner ndo angekuwa mwenye Mali basi hapo angeitwa mnyanyasi wa kijinsia kwa kukataa kumpa mali mtalaka wake......Ila kwa kuwa aliyefanya hivyo ni mke kumnyima mume,unyanyasaji wa kijinsia haupo .....
 
Huo U-marioo wa Gardner wala siuoni. Mtu ana kazi yake inayomlipa vizuri kitambo sana, ana jina kubwa, kila redio nchini ingepeenda kufanya kazi nae. Halafu jitu linakuja kusema eti aliolewa. Yale ni makubaliano kutokana na majukumu ya umeneja isingekuwa rahisi kumudu kazi ya utangazaji. Jide alifanikiwa sana alipokuwa chini Gardner. Kama ukibisha basi hicho ni kipaji chako tu.
 
Back
Top Bottom