Mali za Serikali Kukamatwa

Deni linatisha, maana mfano bajeti ya wizara OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE 2023 / 2024

MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA ZA OFISI YA WAZIRI MKUU NA
OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2023/2024

193. Mheshimiwa Spika, kwa mwaka 2023/2024, Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zilizo chini yake inaliomba Bunge lako Tukufu liidhinishe jumla ya shilingi 173,733,110,000; kati ya fedha hizo, shilingi 121,364,753,320 ni kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida na shilingi 52,368,356,680 ni kwa ajili ya Matumizi ya Maendeleo.

194. Mheshimiwa Spika, Vilevile naliomba Bunge lako Tukufu liidhinishe jumla ya Shilingi 165,627,897,000 kwa ajili ya Mfuko wa Bunge. Kati ya fedha hizo, Shilingi 160,458,877,000 ni kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida na Shilingi 5,169,020,000 ni kwa
ajili ya Matumizi ya Maendeleo.

195. Mheshimiwa Spika, naomba

Source : Parliament of Tanzania
 
Kwani haya madeni si walisemaga yanalipika sjui ni madeni himilivu na porojo nyingi😂😂😂😂 haya mali zinakamatwa na soon raisi anakopa tena na tena hivi hamuoni wamama wanavyoteseka na vikoba na hawakomi ndio raisi wetu anakopa kama yuko vikoba ni asili yao simlaumu kabisa
 
Mali za Jamhiri au za uchumi wa bluu?
 
Mbaya zaidi anakopa kupeleka Zanzibar
 
1985 nna govi langu bado hapo..kitambo sana
 
Mwandish wa hki kipeperushi anaijua kweli trillion 97....??
 
Achana na mwandish haijui 97 trillion..hyo hta billion 100 haifiki
 
Wanadaiwa wapemba tunalipa watanganyika
 
....kiasi cha Dola za Marekani 41,522,475,277.12 (Tsh. Trilioni 97.366).
Mkiambiwa sisi ni donor country mnabisha!!! Hizi hela tunalipa deni la nchi lote. Tunahitaji ufafanuzi hizo hela zipo wapi tukalipe madeni.
 
Wanadaiwa wapemba tunalipa watanganyika
Nyie endeleeni tu kushabikia mambo ya simba na yanga, habari za udaku za kina Diamond na kuwaandaa watoto wenu kua mashoga kwa ushamba wenu mfano Irene uwoya na mwanae krish anavomuandaa kuwa shoga huku mkaacha kufuatilia mambo ya maana yanayohusu maisha yenu
 
hii trilioni 97 mbona inaweza kuwa bei ya kisiwa chenyewe cha Zanzibar sasa, kama vipi wachukue tu hiko kisiwa na watu wake.

madeni sidhani kama issue ya muungano.
 
hii trilioni 97 mbona inaweza kuwa bei ya kisiwa chenyewe cha Zanzibar sasa, kama vipi wachukue tu hiko kisiwa na watu wake.

madeni sidhani kama issue ya muungano.
Angalieni figure vizur mwandishi amepotoshaaass.. lkn Kwa kutojua Kwan wengi wa wahariri wetu bado ni ngumbalu taarifa kama hii unaiandika front page halfu totally unapotoshaaa...hya nndo makosa yakufungia hivi vipeperushii... Trillion 97, wwkati bajeyi ya tz mwaka huu nadhani ni 40trillion....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…