MALI ZANGU NI ZA WANANGU.

MALI ZANGU NI ZA WANANGU.

Mali ni zangu na mkewangu pamoja na wazazi wangu, bila wao nisingefika nilipo.

Hao wengine nitawasaidia kupata mbinu za kutafuta mali zao
 
Wengi wetu wa rika langu wazazi wetu hasa baba zetu walikuwa wanatuambia "Hizi mali ni za kwangu na mke wangu mkatafute vya kwenu",well there was ni option to accept their concern during those eras.

Kwa bahati mbaya mimi sijawahi kulelewa na baba na mama hivyo si muhanga wa hiyo kauli,sasa nataka kusema hivi,,MIMI MALI ZANGU NINATAFUTA KWA AJILI YA FAMILIA YANGU,NI MALI ZA WATOTO WANGU MAANA WAKATI NAZITAFUTA WANANGU WANAHUSIKA KATIKA MATESO IKIWEMO KUKOSA HAKI ZAO ZA MSINGI KWA UHAKIKA KUTOKA KWANGU,PILI NI JUKUMU LANGU MIMI KUTENGENEZA MIPAKA YA UMASIKINI BAINA YA KIZAZI KILE NA KIZAZI CHANGU,HIVYO MIMI NDIO MWENYE JUKUMU LAKUFANYA HATA ILE GRAND KIDS YANGU IJE IISHI RICH LIFE.

HIZI STORI ZA UJIMA NDIZO ZINAFANYA FAMILIA NYINGI ZA KIAFRIKA KUWA MASIKINI,BABA ANAKUWA NA MALI LAKINI ANAKOSA FORMULA YAKUZIENDELEZA AKIFA NAZO ZIMEKUFA,TUJIFUNZE KWA WATU WENYE ASILI YA UARABU

MAPAMBANO YANGU NI KWA AJILI YA WANANGU NOT I.

Vizuri mtu husamini chake
 
Mimi Mali zangu nikifa nyie wenyewe mtakaokuwepo mtaamua mnafanyaje Mimi Nina nyumba ya udongo moja ya vyumba vitatu na eneo uwanja wa Miguu 16
 
Kwanza pole ya kutolelewa na wazazi wote baba na mama, maamuzi yako mengi ya kifamilia na watoto yatatokana na historia yako na wazazi wako.

Tengeneza misingi kwa watoto wako, sababu ukimpa hiyo gari yako anaweza asifike nayo popote.

Unaweza kuhangaika miaka 10 unajenga nyumba na mpk unanunua gari au shamba umepambana sana, lkn ukifa within 1 month wanauza vyote wanagawana kila mtu na chake.
 
Wengi wetu wa rika langu wazazi wetu hasa baba zetu walikuwa wanatuambia "Hizi mali ni za kwangu na mke wangu mkatafute vya kwenu",well there was ni option to accept their concern during those eras.

Kwa bahati mbaya mimi sijawahi kulelewa na baba na mama hivyo si muhanga wa hiyo kauli,sasa nataka kusema hivi,,MIMI MALI ZANGU NINATAFUTA KWA AJILI YA FAMILIA YANGU,NI MALI ZA WATOTO WANGU MAANA WAKATI NAZITAFUTA WANANGU WANAHUSIKA KATIKA MATESO IKIWEMO KUKOSA HAKI ZAO ZA MSINGI KWA UHAKIKA KUTOKA KWANGU,PILI NI JUKUMU LANGU MIMI KUTENGENEZA MIPAKA YA UMASIKINI BAINA YA KIZAZI KILE NA KIZAZI CHANGU,HIVYO MIMI NDIO MWENYE JUKUMU LAKUFANYA HATA ILE GRAND KIDS YANGU IJE IISHI RICH LIFE.

HIZI STORI ZA UJIMA NDIZO ZINAFANYA FAMILIA NYINGI ZA KIAFRIKA KUWA MASIKINI,BABA ANAKUWA NA MALI LAKINI ANAKOSA FORMULA YAKUZIENDELEZA AKIFA NAZO ZIMEKUFA,TUJIFUNZE KWA WATU WENYE ASILI YA UARABU

MAPAMBANO YANGU NI KWA AJILI YA WANANGU NOT I.
Kwa hio wewe una akili kuliko waliokutangulia? Hivi unajua mali zina depreciate with time.
Hivi unajua hotel ya kitalii mbeleni si kitu.
Hivi unajua magari ya leo ni scraper za kesho.
Unasahau kuwa Mungu kasema kola mtu atakula kwa jasho lake.
Sisi waislamu tunaamini mtu akifa riziki yake inafungwa na mali zake zinapukutika.
Wewe ni chanzo cha utajiri wa wanaoo ila mali zako si za kwao kwa sababu mazingira watajayoishi ni tofauti.
Wazee wetu waliona mbali kiliko sidi pamoja na madigrii mengi kichwani hatuwafikii hata kidogo.
 
Wengi wetu wa rika langu wazazi wetu hasa baba zetu walikuwa wanatuambia "Hizi mali ni za kwangu na mke wangu mkatafute vya kwenu",well there was ni option to accept their concern during those eras.

Kwa bahati mbaya mimi sijawahi kulelewa na baba na mama hivyo si muhanga wa hiyo kauli,sasa nataka kusema hivi,,MIMI MALI ZANGU NINATAFUTA KWA AJILI YA FAMILIA YANGU,NI MALI ZA WATOTO WANGU MAANA WAKATI NAZITAFUTA WANANGU WANAHUSIKA KATIKA MATESO IKIWEMO KUKOSA HAKI ZAO ZA MSINGI KWA UHAKIKA KUTOKA KWANGU,PILI NI JUKUMU LANGU MIMI KUTENGENEZA MIPAKA YA UMASIKINI BAINA YA KIZAZI KILE NA KIZAZI CHANGU,HIVYO MIMI NDIO MWENYE JUKUMU LAKUFANYA HATA ILE GRAND KIDS YANGU IJE IISHI RICH LIFE.

HIZI STORI ZA UJIMA NDIZO ZINAFANYA FAMILIA NYINGI ZA KIAFRIKA KUWA MASIKINI,BABA ANAKUWA NA MALI LAKINI ANAKOSA FORMULA YAKUZIENDELEZA AKIFA NAZO ZIMEKUFA,TUJIFUNZE KWA WATU WENYE ASILI YA UARABU

MAPAMBANO YANGU NI KWA AJILI YA WANANGU NOT I.

Sasa ukifa leo' sisi wana jamii forum uliotukaripia na Capital letters ndo tutahakikisha haya au uandae mazingira ya kisheria kujiandaa na hayo?

Kelele na justifications zako hazibadili chochote, ila mikakati yako....
 
Hawawezi wakakuelewa waafrica especially watanzani tunaroho mbaya sana, nashangaa mtu unakuwa na roho mbaya hadi kwa watoto wako?. Tunapenda kuona mtu akiteseka ndio furaha yetu,

Kama ulivyosema ni vizuri kuwatengenezea mazingira mazuri watoto wako maana hao ndio wa kusimamia siku ambazo utakuwa haujiwezi kitu ulichokihangaikia.
Wengi wetu wa rika langu wazazi wetu hasa baba zetu walikuwa wanatuambia "Hizi mali ni za kwangu na mke wangu mkatafute vya kwenu",well there was ni option to accept their concern during those eras.

Kwa bahati mbaya mimi sijawahi kulelewa na baba na mama hivyo si muhanga wa hiyo kauli,sasa nataka kusema hivi,,MIMI MALI ZANGU NINATAFUTA KWA AJILI YA FAMILIA YANGU,NI MALI ZA WATOTO WANGU MAANA WAKATI NAZITAFUTA WANANGU WANAHUSIKA KATIKA MATESO IKIWEMO KUKOSA HAKI ZAO ZA MSINGI KWA UHAKIKA KUTOKA KWANGU,PILI NI JUKUMU LANGU MIMI KUTENGENEZA MIPAKA YA UMASIKINI BAINA YA KIZAZI KILE NA KIZAZI CHANGU,HIVYO MIMI NDIO MWENYE JUKUMU LAKUFANYA HATA ILE GRAND KIDS YANGU IJE IISHI RICH LIFE.

HIZI STORI ZA UJIMA NDIZO ZINAFANYA FAMILIA NYINGI ZA KIAFRIKA KUWA MASIKINI,BABA ANAKUWA NA MALI LAKINI ANAKOSA FORMULA YAKUZIENDELEZA AKIFA NAZO ZIMEKUFA,TUJIFUNZE KWA WATU WENYE ASILI YA UARABU

MAPAMBANO YANGU NI KWA AJILI YA WANANGU NOT I.
 
Mbona siwasikii wanawake nao wakisema mali zao ni zao na waume zao ??
Ila wanaume wanajikaza kusema mali zao ni zao na wake zao.

Tumepigwa hapa
 
Mali zangu ni kwa ajili ya wanangu,kwani si kila mtu ametoka kwao ?
 
Back
Top Bottom