TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
- Thread starter
- #21
Generational wealth
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile
Imeisha hiyoHakika,jasho langu ni Kwa ajili ya kesho ya wanangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Generational wealth
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile
Imeisha hiyoHakika,jasho langu ni Kwa ajili ya kesho ya wanangu
We Mali zako ushapewa so relux we kijana wa MnmaUnatengeneza mazingira ya kufa mapema ili wenye mali zao wachukue mapema.
Wengi wetu wa rika langu wazazi wetu hasa baba zetu walikuwa wanatuambia "Hizi mali ni za kwangu na mke wangu mkatafute vya kwenu",well there was ni option to accept their concern during those eras.
Kwa bahati mbaya mimi sijawahi kulelewa na baba na mama hivyo si muhanga wa hiyo kauli,sasa nataka kusema hivi,,MIMI MALI ZANGU NINATAFUTA KWA AJILI YA FAMILIA YANGU,NI MALI ZA WATOTO WANGU MAANA WAKATI NAZITAFUTA WANANGU WANAHUSIKA KATIKA MATESO IKIWEMO KUKOSA HAKI ZAO ZA MSINGI KWA UHAKIKA KUTOKA KWANGU,PILI NI JUKUMU LANGU MIMI KUTENGENEZA MIPAKA YA UMASIKINI BAINA YA KIZAZI KILE NA KIZAZI CHANGU,HIVYO MIMI NDIO MWENYE JUKUMU LAKUFANYA HATA ILE GRAND KIDS YANGU IJE IISHI RICH LIFE.
HIZI STORI ZA UJIMA NDIZO ZINAFANYA FAMILIA NYINGI ZA KIAFRIKA KUWA MASIKINI,BABA ANAKUWA NA MALI LAKINI ANAKOSA FORMULA YAKUZIENDELEZA AKIFA NAZO ZIMEKUFA,TUJIFUNZE KWA WATU WENYE ASILI YA UARABU
MAPAMBANO YANGU NI KWA AJILI YA WANANGU NOT I.
Kwa hio wewe una akili kuliko waliokutangulia? Hivi unajua mali zina depreciate with time.Wengi wetu wa rika langu wazazi wetu hasa baba zetu walikuwa wanatuambia "Hizi mali ni za kwangu na mke wangu mkatafute vya kwenu",well there was ni option to accept their concern during those eras.
Kwa bahati mbaya mimi sijawahi kulelewa na baba na mama hivyo si muhanga wa hiyo kauli,sasa nataka kusema hivi,,MIMI MALI ZANGU NINATAFUTA KWA AJILI YA FAMILIA YANGU,NI MALI ZA WATOTO WANGU MAANA WAKATI NAZITAFUTA WANANGU WANAHUSIKA KATIKA MATESO IKIWEMO KUKOSA HAKI ZAO ZA MSINGI KWA UHAKIKA KUTOKA KWANGU,PILI NI JUKUMU LANGU MIMI KUTENGENEZA MIPAKA YA UMASIKINI BAINA YA KIZAZI KILE NA KIZAZI CHANGU,HIVYO MIMI NDIO MWENYE JUKUMU LAKUFANYA HATA ILE GRAND KIDS YANGU IJE IISHI RICH LIFE.
HIZI STORI ZA UJIMA NDIZO ZINAFANYA FAMILIA NYINGI ZA KIAFRIKA KUWA MASIKINI,BABA ANAKUWA NA MALI LAKINI ANAKOSA FORMULA YAKUZIENDELEZA AKIFA NAZO ZIMEKUFA,TUJIFUNZE KWA WATU WENYE ASILI YA UARABU
MAPAMBANO YANGU NI KWA AJILI YA WANANGU NOT I.
Haya bana.We Mali zako ushapewa so relux we kijana wa Mnma
Wengi wetu wa rika langu wazazi wetu hasa baba zetu walikuwa wanatuambia "Hizi mali ni za kwangu na mke wangu mkatafute vya kwenu",well there was ni option to accept their concern during those eras.
Kwa bahati mbaya mimi sijawahi kulelewa na baba na mama hivyo si muhanga wa hiyo kauli,sasa nataka kusema hivi,,MIMI MALI ZANGU NINATAFUTA KWA AJILI YA FAMILIA YANGU,NI MALI ZA WATOTO WANGU MAANA WAKATI NAZITAFUTA WANANGU WANAHUSIKA KATIKA MATESO IKIWEMO KUKOSA HAKI ZAO ZA MSINGI KWA UHAKIKA KUTOKA KWANGU,PILI NI JUKUMU LANGU MIMI KUTENGENEZA MIPAKA YA UMASIKINI BAINA YA KIZAZI KILE NA KIZAZI CHANGU,HIVYO MIMI NDIO MWENYE JUKUMU LAKUFANYA HATA ILE GRAND KIDS YANGU IJE IISHI RICH LIFE.
HIZI STORI ZA UJIMA NDIZO ZINAFANYA FAMILIA NYINGI ZA KIAFRIKA KUWA MASIKINI,BABA ANAKUWA NA MALI LAKINI ANAKOSA FORMULA YAKUZIENDELEZA AKIFA NAZO ZIMEKUFA,TUJIFUNZE KWA WATU WENYE ASILI YA UARABU
MAPAMBANO YANGU NI KWA AJILI YA WANANGU NOT I.
Wengi wetu wa rika langu wazazi wetu hasa baba zetu walikuwa wanatuambia "Hizi mali ni za kwangu na mke wangu mkatafute vya kwenu",well there was ni option to accept their concern during those eras.
Kwa bahati mbaya mimi sijawahi kulelewa na baba na mama hivyo si muhanga wa hiyo kauli,sasa nataka kusema hivi,,MIMI MALI ZANGU NINATAFUTA KWA AJILI YA FAMILIA YANGU,NI MALI ZA WATOTO WANGU MAANA WAKATI NAZITAFUTA WANANGU WANAHUSIKA KATIKA MATESO IKIWEMO KUKOSA HAKI ZAO ZA MSINGI KWA UHAKIKA KUTOKA KWANGU,PILI NI JUKUMU LANGU MIMI KUTENGENEZA MIPAKA YA UMASIKINI BAINA YA KIZAZI KILE NA KIZAZI CHANGU,HIVYO MIMI NDIO MWENYE JUKUMU LAKUFANYA HATA ILE GRAND KIDS YANGU IJE IISHI RICH LIFE.
HIZI STORI ZA UJIMA NDIZO ZINAFANYA FAMILIA NYINGI ZA KIAFRIKA KUWA MASIKINI,BABA ANAKUWA NA MALI LAKINI ANAKOSA FORMULA YAKUZIENDELEZA AKIFA NAZO ZIMEKUFA,TUJIFUNZE KWA WATU WENYE ASILI YA UARABU
MAPAMBANO YANGU NI KWA AJILI YA WANANGU NOT I.
Generational wealth
Nilimzalia nani?,kwani niliamua kuwazaa ili waje wahenyeke na hii dunia? Kutafuta vya kwao ni ruksa ila haizuii nilivyotafuta mimi kuwa vya kwaokwa nn watt wako nao wasitafute za kwao,!!?
Mali zangu ni kwa ajili ya wanangu,kwani si kila mtu ametoka kwao ?Mbona siwasikii wanawake nao wakisema mali zao ni zao na waume zao ??
Ila wanaume wanajikaza kusema mali zao ni zao na wake zao.
Tumepigwa hapa
Eh,ndiwooooOoook