Chekechea - miaka 2
Msingi - miaka 7
Olevel - miaka 4
Form 5 / Dip - miaka 2
Degree - Miaka 4
kujitolea kupata ujuzi - miaka 3
Mtu kasota miaka kibao kajiwekeza then kapata ajira yake au kajiajiri kwa taaluma aliyosomea, kaanza kufaidi matunda yake ya uwekezaji alioufanya tangu chekechea hadi degree / masters, anapata mwenzake na kuingia rasmi kwenye ndoa, ajabu ikitokea talaka mahakamani eti mali za jasho la mtu chekechea hadi degree zipigwe pasu kwa pasu kisa mwanamke alikuwa anampashia maji, is this fair ?
Ni vingi sana watanzania hupitia mpaka mtu anahitimu chuo, Huyo anaetaka pasu kwa pasu alitoa msaada gani wakati mwenzake anasota kwa hayo mateso ?
Hatuna budi kuwaiga wakenya kwenye sheria ya ndoa mkiachana kila mtu anaondoka na vitu alivyochangia kifedha, hakuna mambo ya kupashiana maji, hilo ni jukumu la mwanamke kama ilivyo mwanaume kuwa mlinzi wa nyumba, mbaya zaidi majukumu yanayotetewa na mahakama kwa wanawake wa sasa ni ngumu kuyafanya wanampa house girl, mashine za kufua, n.k.

- kukesha usiku kusoma
- kuamka alfajiri kuoga maji yabaridi
- kutembea umbali mrefu
- kurudi nyumbani hoi
- manyanyaso ya daladala
- viboko visivyohesabika na adhabu kibao
- kurudia / ku resit
- mihangaiko ya kutafuta ada
- madawati mabovu na hata kukaa chini
- wazazi wamejibana sana ili mtoto asome
- n.k.