Malia Obama ndani ya penzi jipya

Malia Obama ndani ya penzi jipya

View attachment 823298
Malia Obama(20) na mpenzi wake Rory Farguharson(19) wabamba Mayfair London wakivuta sigara wakati wakienda kula dinner . Malia Obamba ambaye alikuwa first daughter katika ikulu ya Marekani alianza kuvuta muda sasa and yeye pamoja na mpenzi wake huyo wanasoma chuo kikuu cha Harvard ambapo penzi lao limeanzia hapo . Baba yake Rory ni mmiliki wa Insight Investiment Management Limited huko London wakati mama yake ni mhasibu .View attachment 823297
Uzi huu ni mchungu mno kwa Mtemi, mwenyekiti wa kuwekwa wa chama kipya kitakachokuja cha siasa cha ndugu yetu kipenz kabisa wa JF... na anaenda kwa jina la DEOGRATIUS NALIMI KISANDU.
 
Tatizo hawa mademu wa Kinyarwanda sio waaminifu
 
acheni atombeke tuuu hakuna namna ngoja sisi tukomae na mtoto wa gardener g habashi mazeeeeeww
 
Daah asee kudate naako kadem nizaid ya kuokota dhahabu..
 
nilivyo mbaguzi wa rangi tayari nimeshamuona malia ni msaliti
 
Hivi huyu sio yule wa Mtemi Kisandu au ndugu yake ndio goma la brother K?
 
Ndio anamtomb Malia kumbe... ila akisha mla jicho kwisha habari yake..
 
Huyu mtoto nilikua namtaka kitambo sana tatizo ni pesa tu za kunipeleka havard..

Watu wenye hela wanafaidi sana...
Acha nitafute hela atleast watoto wangu wasipate shida kudate na wasichana wa hivyo
[emoji23]
 
Back
Top Bottom