ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,326
- 8,505
Yuko gerezani anitumikia Jamhuri ya Muungano.
Alishahukumiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko gerezani anitumikia Jamhuri ya Muungano.
Uzi huu ni mchungu mno kwa Mtemi, mwenyekiti wa kuwekwa wa chama kipya kitakachokuja cha siasa cha ndugu yetu kipenz kabisa wa JF... na anaenda kwa jina la DEOGRATIUS NALIMI KISANDU.View attachment 823298
Malia Obama(20) na mpenzi wake Rory Farguharson(19) wabamba Mayfair London wakivuta sigara wakati wakienda kula dinner . Malia Obamba ambaye alikuwa first daughter katika ikulu ya Marekani alianza kuvuta muda sasa and yeye pamoja na mpenzi wake huyo wanasoma chuo kikuu cha Harvard ambapo penzi lao limeanzia hapo . Baba yake Rory ni mmiliki wa Insight Investiment Management Limited huko London wakati mama yake ni mhasibu .View attachment 823297
Pole mkuu. Mlete kwangu nitamlinda vizuriJuzi haka kalikua katoto leo hii anakaa juu ya kifua ,namcheki mwanangu wa kike hapa na ufedhuli naofanya kwa wanawake ,roho inauma
Hivi hajatokaYuko gerezani anitumikia Jamhuri ya Muungano.
Hahaha hapana kwa kweliPole mkuu. Mlete kwangu nitamlinda vizuri
Ùna take risks hadi kwa vimbau mbau kama uyo?Life is all about risks!
Hivi huyo jamaa hajatoka lupango?Yuko gerezani anitumikia Jamhuri ya Muungano.
Mimi ndukiiiNdio anamtomb Malia kumbe... ila akisha mla jicho kwisha habari yake..
We faaaaaala Sana!!Wao ndani ya penzi jipya, mimi ndani ya Avatar mpya na deni mpya...
Hahaaa Tutengeneze new kapo yetu atii.We faaaaaala Sana!!
Hahhahaa
[emoji23]Huyu mtoto nilikua namtaka kitambo sana tatizo ni pesa tu za kunipeleka havard..
Watu wenye hela wanafaidi sana...
Acha nitafute hela atleast watoto wangu wasipate shida kudate na wasichana wa hivyo