[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu tulia basi usome kwa umakini, labda uwe unatania.Aiseee 13 + 27 = 40..!!!!
Mh, heshima yako dada yangu, unasifa zote za kuitwa mama
BACK TANGANYIKA
Unashindwa kuelewa vipi mkuu?Mimi nikisikia sifa za Harvard halafu nikiambiwa Chenge kasoma huko
nashindwa kabisa kuelewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu tulia basi usome kwa umakini, labda uwe unatania.
BTW, uzee ni baraka... Asante.
Acha tu,namtamania dogo kinoma.Natamani ningepewa urefu wa hivyo!
Unashindwa kuelewa vipi mkuu?
Yule mzee yuko smart bwana, hata deals zake anazipiga in a smart way...
Usiongelee michango yake iliyotukuka kuhusiana na sheria bungeni.
Lakini kwanini tumfananishe Rais wa Taifa kubwa ulimwenguni na mtu ambaye hajawahi hata kuongoza Taifa letu hili masikini?Mnhhh Elimu ya Harvard imemsaidia kupiga deal in a smart way
Obama Elimu ya Harvard imemsaidia kuitoa nchi yake kwenye mgogoro wa kiuchumi na kuipeleka sehemu nafuu zaidi...
huoni tofauti?
Lakini kwanini tumfananishe Rais wa Taifa kubwa ulimwenguni na mtu ambaye hajawahi hata kuongoza Taifa letu hili masikini?
Fairness ni kwamba kila mtu kaitumia elimu yake kwa manufaa tofauti.
Sitetei ufisadi wa Chenge, lah! [emoji3][emoji3][emoji3]
Akili zako zilizoshindwa kutoka msituni usifikirie wengine watakacha shule!Sasa huyu mtoto naye anahangaika kusoma ili iweje? Ana shida gani? Au misifa tu.
Unamiss kitu The Boss.Mimi point yangu ni kuwa wewe ukipelekwa JKT mfano
utajikuta unafanana fanana na askari wengine wa JKT hata kitabia kidogo..
Hutegemei mtu mwanaume kapitia JKT umkute katinda nyusi mfano...
Sasa kama Harvard inawapa watu elimu ya kutambua nafasi zao hapa duniani
na nafasi zao katika kuongoza wengine na kujitolea na kutojifikiria wao tu
inakuaje huyu wa kwetu apite huko aje kupiga dili zake tu....hilo ndo nashindwa kulitafsiri
Mhhhhhh kwani wewe mwenzetu elimu kwako ina maana gani?Sasa huyu mtoto naye anahangaika kusoma ili iweje? Ana shida gani? Au misifa tu.
Acha tu,namtamania dogo kinoma.
Halafu ni karembo.... Uwiiiii lazima Miss Tz wa miaka hiyo atoke kwetu [emoji39][emoji39]
Ww jitembezeeeeeee lakin kumbuka hauchagui bali unachaguliwa na this is Tanzania we have not we wantNi kawaida hata Bongo inabidi utembelee kwanza UDSM, Mzumbe, UDOM, Zanzibar, IFM, CBE, Mkuranga, Bagamoyo, Buguruni, Ilala flats nk. Kabla ya kufanya maamuzi.
mmh 20' s....!? wadada wengi mnagandia hapo hamkui?Mkuu mimi ni mrefu ila nina dogo langu lefu kinoma.
Hadi namuonea wivu maana she is on her thirteen ila mimi niliyeko katika 20's zangu nasubiri!
Hizo mambo za urefu sana ni kilema zishapitwa na wakati.
Hahahahaaaa sasa unataka niseme uongo ili iweje mkuu?mmh 20' s....!? wadada wengi mnagandia hapo hamkui?
sliver=silverWhat did you expect for a girl who was born with a sliver spoon. I am happy for her.