Malia Obama to attend Havard in 2017

Malia Obama to attend Havard in 2017

kweli ana sifa za kuingia harvad university au anapewa mteremko wa kuwa royal family
 
Kwa upande wangu mimi nisiwemuongo baada ya kumaliza kibasila high school bila hata kutembelea vyuo vingine moyoni nikasema hapa nikipasua tu ni UDSM moja kwa moja na namshukuru mungu ulikuwa hivyooo
 
Ni kawaida hata Bongo inabidi utembelee kwanza UDSM, Mzumbe, UDOM, Zanzibar, IFM, CBE, Mkuranga, Bagamoyo, Buguruni, Ilala flats nk. Kabla ya kufanya maamuzi.
Tatizo bongo utachagua UDSM unajikuta MUCOBAS [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Chuo cha wenye akili zao;
Angekuwa wa huku kwetu na
hizo raha za white house
saa hizi angeshazaa watoto wawili;
 
Mkuu mimi ni mrefu ila nina dogo langu lefu kinoma.
Hadi namuonea wivu maana she is on her thirteen ila mimi niliyeko katika 20's zangu nasubiri!
Hizo mambo za urefu sana ni kilema zishapitwa na wakati.
Urefu si kilema Nifah,
 
Hata Tanzania unaweza kutembelea vyuo mbali mbali kama unataka huwezi kuzuiwa na mtu yoyote
Tofauti ni kwamba wewe unatembelea vyuo ila utapangiwa na TCU

Lakini yeye amefanya uamuzi asome wapi.
 
Back
Top Bottom