BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
3.5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwasababu ya kupandapanda ndege hovyo.hawa viumbe wameenda hewani bana khaa
naamanisha urefu mkuu, mama tall, baba tall yan nomakwasababu ya kupandapanda ndege hovyo.
mkuu nilikuelewa sana. I was just making fun of it!!naamanisha urefu mkuu, mama tall, baba tall yan noma
Tatizo bongo utachagua UDSM unajikuta MUCOBAS [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ni kawaida hata Bongo inabidi utembelee kwanza UDSM, Mzumbe, UDOM, Zanzibar, IFM, CBE, Mkuranga, Bagamoyo, Buguruni, Ilala flats nk. Kabla ya kufanya maamuzi.
ok goodmkuu nilikuelewa sana. I was just making fun of it!!
hahaa mkuu umenichekesha sanaAna D2 kwani?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]mmh 20' s....!? wadada wengi mnagandia hapo hamkui?
Urefu si kilema Nifah,Mkuu mimi ni mrefu ila nina dogo langu lefu kinoma.
Hadi namuonea wivu maana she is on her thirteen ila mimi niliyeko katika 20's zangu nasubiri!
Hizo mambo za urefu sana ni kilema zishapitwa na wakati.
Tofauti ni kwamba wewe unatembelea vyuo ila utapangiwa na TCUHata Tanzania unaweza kutembelea vyuo mbali mbali kama unataka huwezi kuzuiwa na mtu yoyote
I know...Urefu si kilema Nifah,