SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Nitangulize pole zangu kwa Familia ya Elizabeth na Waingereza wote kwa msiba.
...vilevile nimpongeze Mfalme wa Waingereza.
....kwa taarifa zinazotiririka kuhusu kifo cha Malikia, kumekuwa na gumzo la Nchi zilizomo kwenye mfumo wa Commonwealth, sasa zitaanza ku"Brexit".
Binafsi sioni umuhimu wa kuwemo kwenye Commonwealth that is not 'Common' na tunapishana sana na hiyo 'Wealth' pamoja na kunyonywa maliasili zetu.
Tung'oke tu.