Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Tudokeze.Maana yake nini?Halafu tunaambiwa kuwa tafsiri ya COMMONWEALTH kwa kiswahili ni JUMUIYA YA MADOLA
Huu uongo huu hata viongozi wetu hawajaustukia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tudokeze.Maana yake nini?Halafu tunaambiwa kuwa tafsiri ya COMMONWEALTH kwa kiswahili ni JUMUIYA YA MADOLA
Huu uongo huu hata viongozi wetu hawajaustukia
Msanii,Halafu tunaambiwa kuwa tafsiri ya COMMONWEALTH kwa kiswahili ni JUMUIYA YA MADOLA
Huu uongo huu hata viongozi wetu hawajaustukia
Ujinga ndio ulitufanya tuwemo humo.Eleza unavyonyonywa kama sio ujeinga unakusumbua
How ?, this is new news to mezilipatikana kwa mkono na baraka za Familia ya Kifalme.
Siwezi kukusaidia na hilo.How ?, this is new news to me
Umeongea neno kubwa sana KATIBA.Msanii,
Kuna hili la Katiba yetu na sijui ni kwa kiasi gani uwepo wetu ndani ya Commonwealth unatutatiza na kuwa na KATIBA inayotutosheleza.
Nafikiri utakuwa wakati Muafaka kuelezwa Mategemeo ya Nchi yetu kuwemo humo, kuelezwa ni mafanikio gani haswa ya kubakia humo...
Viongozi wana kazi kuhusu hili
HeheheheTudokeze.Maana yake nini?
Lidikteta kuu liuaji limekufa ila limeacha mavibaraka yake kwenye muunganiko wa kipumbavu wa common wealth wacha vibaraka wake waendelee kulishujudia hilo li familia lililo jaa damu za ndugu zao.Nitangulize pole zangu kwa Familia ya Elizabeth na Waingereza wote kwa msiba.
...vilevile nimpongeze Mfalme wa Waingereza.
....kwa taarifa zinazotiririka kuhusu kifo cha Malikia, kumekuwa na gumzo la Nchi zilizomo kwenye mfumo wa Commonwealth, sasa zitaanza ku"Brexit".
Binafsi sioni umuhimu wa kuwemo kwenye Commonwealth that is not 'Common' na tunapishana sana na hiyo 'Wealth' pamoja na kunyonywa maliasili zetu.
Tung'oke tu.
Wazungu wa Quebec ni vichaa waleAustralia hawataki,Canada hasa kule Québec hawataki. Majority hawataki. Ngonja msiba uishe itajulikana. Charles kazi anayo.
Nimekupa nafasi uelezeUjinga ndio ulitufanya tuwemo humo.
Ww Glenn unajua ni kiasi gani tunatoa kuendesha Familia ya Kifalme Uingereza? Fanya ujinga uelewe hili.
Ati COMMONWEALTH!
What do we have in common with Europeans?
Sikujua Bibi wa watu alikuwa Dick-tator.Lidikteta kuu liuaji limekufa ila limeacha mavibaraka yake kwenye muunganiko wa kipumbavu wa common wealth wacha vibaraka wake waendelee kulishujudia hilo li familia lililo jaa damu za ndugu zao.
# MATESO NA MAKOVU YA UKOLONI MLIYO TUACHIA HAYA SAHAULIKI YATA DUMU VIZAZI NA VIZAZI . Wacha lidikteta liuaji liende likakutane na mauaji menzake huko liendako.View attachment 2351698
Bado msuguano wa miaka ya nyuma kati ya ya wafaransa na waingereza inashamiri.Wazungu wa Quebec ni vichaa wale
Kwa hiyo wazungu walitafsiri kiswahiliHalafu tunaambiwa kuwa tafsiri ya COMMONWEALTH kwa kiswahili ni JUMUIYA YA MADOLA
Huu uongo huu hata viongozi wetu hawajaustukia
Nafasi ya kueleza nini?Nimekupa nafasi ueleze
Leading questionsKwa hiyo wazungu walitafsiri kiswahili
Alishindwa kujiunganisha na Diana,sisi ndo ataweza ?Kwanza hakutakiwa kuwa king.King Edouard alitolewa uking kisa alioa mwanamke aliedivorce. Ndo sasa king George baba wa malikia Lilibet akawa king .Sasa huyu Charles ni divorcee na akaowa divorcee. Sema nini Malkia Elizabeth alilegeza sheria.Ndio Malikia alikuwa 'Raisi' wetu. Aliweza kutuunganisha. Mfalme ataweza hayo?
Sio waingereza tu hata wadosi Quebec wamechemka hawana nguvu kama OntarioBado msuguano wa miaka ya nyuma kati ya ya wafaransa na waingereza inashamiri.
Ni vichaa walioweza kuweka sawa Ufalme wa Waingereza
Pontiac's Revolt