SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
- Thread starter
- #41
...angalia Statue of Wesminster 1931Umeongea neno kubwa sana KATIBA.
Uwepo wetu kwenye huu umoja wa kimaslahi unapaswa kuzingafia utashi wetu na hasa kwenye Katiba.
Unadhani viongozi hawakuelewi? Shida wana ugumu kwenye kuukubali ukweli
...pamoja na Edinburgh Declaration.
Kuna vitu Serikali zetu-nasema Seriikali za Kiafrika-wanavificha. Ikiwa pamoja na Ugumu wa kubadilisha KATIBA zetu kwasababu tu tumo ndani ya Jumuiya hii.