SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Na weye hutaki?πππAustralia hawataki,Canada hasa kule QuΓ©bec hawataki. Majority hawataki. Ngonja msiba uishe itajulikana. Charles kazi anayo.
Canada,Australia,New Zealand wao mfalme ndo chief of their states. Sisi tupo kwenye common wealth sawa ila wale nchi 15 wao mfalme ni mkuu wao kabisa.Na weye hutaki?πππ
Sawa.Kwani wanakukera nini mkuu?Canada,Australia,New Zealand wao mfalme ndo chief of their states. Sisi tupo kwenye common wealth sawa ila wale nchi 15 wao mfalme ni mkuu wao kabisa.
Hakuna mahali wananikera.Sawa.Kwani wanakukera nini mkuu?
Hooray to His Exlency!πππππππHakuna mahali wananikera.
Nadhani umechanganya hapa, hao baadhi yao walikuwa wanataka kudai wawe Republic lakini ndani ya Commonwealth.Australia
Uko sawa. Nimekurupuka.Kuna kitu unacho kichwani lakini umeshindwa kukibadilisha kuwa maandishi.
Tupo wote muheshimiwa.Uko sawa. Nimekurupuka.
Lakini taarifa ndio hiyo.
Ahsante kwa angalizo
Ndio Malikia alikuwa 'Raisi' wetu. Aliweza kutuunganisha. Mfalme ataweza hayo?Canada,Australia,New Zealand wao mfalme ndo chief of their states. Sisi tupo kwenye common wealth sawa ila wale nchi 15 wao mfalme ni mkuu wao kabisa.
kwani jumuiya ya madola unategemea uwepo wa malkia yeye binafsi au taasisi? unaposema bora Tung'oke tu. kwani tupo pale kilazima? hakuna nchi inayolazimika kuwepo pale mkuu, malka pia ndio mkuu wa nchi km australia na canada lakin iko hivyo kwakuwa nchi hizo hazioni shida ila ziko free kuchomoka zikijisikia kufanya hivyoNitangulize pole zangu kwa Familia ya Elizabeth na Waingereza wote kwa msiba.
...vilevile nimpongeze Mfalme wa Waingereza.
....kwa taarifa zinazotiririka kuhusu kifo cha Malikia, kumekuwa na gumzo la Nchi zilizomo kwenye mfumo wa Commonwealth, sasa zitaanza ku"Brexit".
Binafsi sioni umuhimu wa kuwemo kwenye Commonwealth that is not 'Common' na tunapishana sana na hiyo 'Wealth' pamoja na kunyonywa maliasili zetu.
Tung'oke tu.
lkn hakuna anaezizuia australia na canada kuwa republics, nadhani kuna baadhi ya nchi zimeshachomoka tayariAustralia hawataki,Canada hasa kule QuΓ©bec hawataki. Majority hawataki. Ngonja msiba uishe itajulikana. Charles kazi anayo.
Nakumene,kwani jumuiya ya madola unategemea uwepo wa malkia yeye binafsi au taasisi? unaposema bora Tung'oke tu. kwani tupo pale kilazima? hakuna nchi inayolazimika kuwepo pale mkuu, malka pia ndio mkuu wa nchi km australia na canada lakin iko hivyo kwakuwa nchi hizo hazioni shida ila ziko free kuchomoka zikijisikia kufanya hivyo
βSyllogism rule: When the major Statement is wrong, whatever good the minor statement might be, the conclusion will be wrong!
Hail to the King!Hooray to His Exlency!πππππππ
Halafu tunaambiwa kuwa tafsiri ya COMMONWEALTH kwa kiswahili ni JUMUIYA YA MADOLANitangulize pole zangu kwa Familia ya Elizabeth na Waingereza wote kwa msiba.
...vilevile nimpongeze Mfalme wa Waingereza.
....kwa taarifa zinazotiririka kuhusu kifo cha Malikia, kumekuwa na gumzo la Nchi zilizomo kwenye mfumo wa Commonwealth, sasa zitaanza ku"Brexit".
Binafsi sioni umuhimu wa kuwemo kwenye Commonwealth that is not 'Common' na tunapishana sana na hiyo 'Wealth' pamoja na kunyonywa maliasili zetu.
Tung'oke tu.
Eleza unavyonyonywa kama sio ujeinga unakusumbuaNitangulize pole zangu kwa Familia ya Elizabeth na Waingereza wote kwa msiba.