Msanii,
Kuna hili la Katiba yetu na sijui ni kwa kiasi gani uwepo wetu ndani ya Commonwealth unatutatiza na kuwa na KATIBA inayotutosheleza.
Nafikiri utakuwa wakati Muafaka kuelezwa Mategemeo ya Nchi yetu kuwemo humo, kuelezwa ni mafanikio gani haswa ya kubakia humo...
Viongozi wana kazi kuhusu hili