Malinyi, Morogoro: Joanfaith Kataraia atunukiwa ngao ya Ushindi kwa Kuongoza katika Ufaulu PSLE. Nini kipo nyuma ya mafanikio ya DED huyu?

Malinyi, Morogoro: Joanfaith Kataraia atunukiwa ngao ya Ushindi kwa Kuongoza katika Ufaulu PSLE. Nini kipo nyuma ya mafanikio ya DED huyu?

Rais Samia chukua vijana kama hawa wazalendo peleka TPA, TRA et utafanikiwa Sana,Sio wapiga dili hawa
 
Ni pisi kali,kama hajaolewa napeleka posa kwa wazazi wake
 
Karembo balaa ukikacheck inabidi ujipatie dk tano za kusikilizia midundo ya mapigo ya moyo bure.
 
Kuna wanafunzi kibao waliofaulu darasa la saba kwenda kidato cha kwanza ambao kusoma kiswahili tu ni shida halafu huyu DED anapongezwa, hii nchi sijui inakwenda wapi. Haya ndio madhara ya kufikiri kwamba UPINZANI ni uadui nchini, huu upuuzi unaoitwa kuupiga mwingi sishani kama ungekuwepo kama upinzani active ungekuwepo
Huyu nasikia aliteuliwa Agosti 2021; lakini taarifa yake inasema ufaulu kwa Halmashauri ya Malinyi ni mzuri tangu 2019.

Hebu aache kujitafutia umaarufu wa kitoto. Hivi hapo hawapo viongozi iowakuta?
 
Huyu nasikia aliteuliwa Agosti 2021; lakini taarifa yake inasema ufaulu kwa Halmashauri ya Malinyi ni mzuri tangu 2019.

Hebu aache kujitafutia umaarufu wa kitoto. Hivi hapo hawapo viongozi iowakuta?
Aliyempa hiyo tuzo hakulifahamu hili? Acha wivu pambana tu na wewe utaonekana
 
Malinyi hakumfai huyu binti kwani ni porini Sana, huyu apewe kazi mjini kwanini kumtesa binti wa watu huko maporini?

#Huyu Dada anastahili pongezi kwa hisani ya UVCCM
 
Hiyo tuzo kaiweka hapo. Isome vizuri utajua kama kajipa au kapewa.

Apewe sifa anayostahili, siyo kuwafanya Wakurugenzi wenzake hamnazo
Mbona kama inasomeka Shigela kwa chini au sijaona vizuri
 
Fact, This bint deserves better, namfahamu

Kuna binti mmoja pia pale Malinyi DC

Anaitwa Rehema anachapa kazi balaa

Vyombo vya uteuzi fuatilieni huyo mtu alisaidie taifa siku moja

Twendeni Malinyi
 
Back
Top Bottom