Malinyi, Morogoro: Joanfaith Kataraia atunukiwa ngao ya Ushindi kwa Kuongoza katika Ufaulu PSLE. Nini kipo nyuma ya mafanikio ya DED huyu?

Aliharibu tu aliposema Halmashauri yangu
 
Hii sura nzuri ya Joanfaith,

Hiki cheo kuzuri cha Joanfaith

Hii elimu nzuri ya Joanfaith

Hili umbo zuri la Joanfaith

Hii gari nzuri ya Joanfaith

#HAYA YOTE UNGEPEWA WEWE TUNGESHAKUZIKA KITAMBO
Hakika Dada ni mtulivu Sana, nadhani ni ile hofu ya Mungu aliyonayo
 
Kazi afanye mwalimu pongezi apewe DED hahahaa Dunia haiishi vituko halafu nyongeza ya mshara wa mwalimu haueleweki
 
Joanfaith,

1. Sura nzuri ✔️

2. Elimu nzuri ✔️

3. Matokeo mazuri PSLE ✔️

4. Mchamungu mzuri ✔️

5. Mtu wa watu ✔️

Huyu anapashwa kupewa nafasi ya juu kwa maslahi ya Watanzania
Anastahili sifa 😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…