Malinyi, Morogoro: Joanfaith Kataraia atunukiwa ngao ya Ushindi kwa Kuongoza katika Ufaulu PSLE. Nini kipo nyuma ya mafanikio ya DED huyu?

Hao wanafunzi wasio jua kusoma ,wako Imalinyi?
 
ANGALIZO: -joanitha kataraiya ni mhima wa buyekera! mbegu ya kagame!
- siasa yumo kimkakati kwa nguvu ya pesa za mmewe mpigaji wa issues za madini! plan ni zaid ya u DED.
- kiasilia, damu ya mhima haifeli mission. inajua kudhamiria. atatumia resources zote available kufikia malengo.
- siyo vyema kumtaka au kumtongoza joan kama ungependa kuishi miaka mingi na kwa salama.
- ushauri: nchi hii iimarishe taasisi ya vetting na iache siasa za magenge.
 
Ni pisi kali,kama hajaolewa napeleka posa kwa wazazi wake
Wew si ulisema wanawake wa kihaya wananuka?

Sijakusahau na ile comment yako...ulitutukania mama zetu, dada zetu nk nk...

Nenda huki moshi kwa wenzako wasio na utu...
 
Wew si ulisema wanawake wa kihaya wananuka?

Sijakusahau na ile comment yako...ulitutukania mama zetu, dada zetu nk nk...

Nenda huki moshi kwa wenzako wasio na utu...
Acha uchochezi weka comment mezani, usitake kunichonganisha na utamu
 
Good aise
 
Huyu angepewa ukurugenzi wa taasisi kubwa angekuwa mtu wa msaada sana
 
Pongezi kwa msichana mdogo kama huyu kuonesha umahiri huo, kuna muda vijana ina faa kufanya unacho ona hakifanywi ili kujenga taifa letu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…