Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaUsingizi wa nani?
😍Joanfaith Kataraia Mitano tena
Hao wanafunzi wasio jua kusoma ,wako Imalinyi?Kuna wanafunzi kibao waliofaulu darasa la saba kwenda kidato cha kwanza ambao kusoma kiswahili tu ni shida halafu huyu DED anapongezwa, hii nchi sijui inakwenda wapi. Haya ndio madhara ya kufikiri kwamba UPINZANI ni uadui nchini, huu upuuzi unaoitwa kuupiga mwingi sishani kama ungekuwepo kama upinzani active ungekuwepo
Malinyi wako njema Sana,wote wanasoma na wanaandika vizuriHao wanafunzi wasio jua kusoma ,wako Imalinyi?
Huu ni ushambaNakazia
Dada huyu ajengewe tu mnara MorogoroHuu ni ushamba
Kazi na iendelee😍😍Anahaki hiyo pia,CCM ni chama cha kukuza vipaji
Si mnasema wadada wa kihaya ni rahisi kupata...wanaume wa morogoro aka mologolo wanaogopa kumtongoza. wanaogopa jela
ndugu zangu wapogoro sijui wanakwama wapi.
kutongoza sio kosa kisheria.
Wew si ulisema wanawake wa kihaya wananuka?Ni pisi kali,kama hajaolewa napeleka posa kwa wazazi wake
Acha uchochezi weka comment mezani, usitake kunichonganisha na utamuWew si ulisema wanawake wa kihaya wananuka?
Sijakusahau na ile comment yako...ulitutukania mama zetu, dada zetu nk nk...
Nenda huki moshi kwa wenzako wasio na utu...
Good aiseHongera Sana DED
👇👇👇👇👇👇
=>Huyu mkurugenzi anabidii Sana ya kazi,
=>Ni mchamungu Sana
=> Yuko social na kila mtu
=> Anajali Sana watumishi wake
=>She is also beautiful ila haringi,
=>Wengine wenye madaraka jifunzeni kwa huyu binti,
Niliwahi kuandika hii kabla ya hii TUZO,
👇👇👇👇👇
Huenda Joanfaith John Kataraia is best DED of the history, anajituma sana huyu binti
Nawasalimu kwa jina la JMT, Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni,Huyu Mkurugenzi deserves better tuache unafiki, Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anamteua binti huyu mdogo mrembo minong'ono ilikuwa mingi hasa humu mitandaoni,nikiwamo na Mimi, Majuzi nilifanikiwa kufika Wilaya ya Malinyi...www.jamiiforums.com
anastahiliInapendeza na hongera zake...
Huyu sio mwanasiasa ni mtendaji tuVipi kwani amepewa mkoa Sasa..?
SawaHuyu sio mwanasiasa ni mtendaji tu
Pongezi kwa msichana mdogo kama huyu kuonesha umahiri huo, kuna muda vijana ina faa kufanya unacho ona hakifanywi ili kujenga taifa letuView attachment 2302713
Hebu tujadili kwa pamoja, nini kipo nyuma ya mafanikio haya makubwa ya Mhe Joanfaith Kataraia Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Malinyi,tangu kuteuliwa kwake wakati wote ameongoza kwa Ufaulu wa juu kwenye mitihani ya ,PSLE,pamoja na mambo mengine mbalimbali,
==
Mhe Joanfaith akiwa katika hafla ya kukabidhiwa "Tuzo" yake ya heshima (certificate of appreciation) kama mkurugenzi mtendaji bora wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi anahaya ya kusema,
View attachment 2302719
" Halmashauri yangu ya Malinyi imekuwa ikiongeza kiasi cha ufaulu kwenye mitihani yote ya kuhitimu Elimu ya Msingi (PSLE) kwa miaka mitatu mfululizo tangu 2019|2020 hadi 2021|22 kwa mchanganuo ufatao;
Mwaka 2019|20 , Wilaya ya Malinyi tulishika nafasi ya pili ( 2 ) Kimkoa (Morogoro) na nafasi ya 43 Kitaifa kwa Ufaulu wa 89.17 %
Mwaka 2020|21, Wilaya ya Malinyi tulishika nafasi ya 1 Kimkoa (morogoro) na ya 9 Kitaifa kwa ufaulu wa 96.03 %
Mwaka 2021|22, Malinyi tulishika nafasi ya kwanza Kimkoa (morogoro) na nafasi ya kumi (10) Kitaifa kwa ufaulu wa 96.06%
Mhe Joanfaith Kataraia anasema, Halmashauri ya wilaya ya Malinyi imejipanga kuendelea kuimarisha Ufundishaji na Ujifunzaji darasani pia kwa vitendo ili wakati wote kupata matokeo ya juu kimkoa na Kitaifa,
Kwanza, tunaimarisha ufundishaji wa stadi za kusoma,kuandika na kuhesabu.
Pili,tunatoa motisha kwa walimu na kulipa stahiki zao kwa wakati.
Tatu, tunashirikiana na viongozi wa Serikali za Vijiji na Wazazi kudhibiti Utoro mashuleni.
Nne, tunaendelea kuboresha Miundombinu ikiwemo Madarasa,Matundu ya vyoo,Madawati na nyumba za Walimu.
Tano, tunashirikiana na wadau wa elimu kuinua ufaulu na kuboresha miundombinu ya Kujifunzia na kufundishia,
Mhe Joanfaith anaendelea kusema, Tunamshukuru mkuu wetu wa Mkoa Mhe Martine Shigela pamoja na Mkuu wetu wa Wilaya Mhe Mathayo Masele kwa ushirikiano wao katika kupata matokeo haya ya juu kabisa kimkoa na Kitaifa,
Anaendelea kusema, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tunamshukuru zaidi Mheshimiwa Rais,Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa Upendo wake kutufanyia yafuatayo :-
•√ Kuendelea kuajiri Walimu wa kutosha,
•√ Kutoa Elimu bila Malipo kuanzia chekechea mpaka kidato cha sita,
•√ Kutoa fedha za ujenzi wa matundu ya vyoo karibu katika kila shule,
•√ Kutoa fedha nyingi za ujenzi wa vyumba vya madarasa.
•√ Kutoa fedha za ujenzi wa shule za msingi mpya.
•√ Kutoa fedha za ujenzi wa nyumba za waalimu.
•√ Kutoa fedha za kufanikisha shughuli za mitihani.
•√ Kutoa fedha za mradi wa kuimarisha ujifunzaji wa elimu ya awali na Msingi.
SHIRIKI KIKAMILIFU SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 KWA MAENDELEO ENDELEVU YA TANZANIA.🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Jiandae Kuhesabiwa..