Malinyi, Morogoro: Joanfaith Kataraia atunukiwa ngao ya Ushindi kwa Kuongoza katika Ufaulu PSLE. Nini kipo nyuma ya mafanikio ya DED huyu?

Kasifiwa na Mh.Rais Leo kwenye uapisho kwamba kakusanya mapato vizuri na mengine yanatumika kujengwae Hospital ya Wilaya.
 
Huyu ANATAKIWA awe DC. Amefanya vizuri mpaka mh. Rais ameapreciate. Tena apewe wilaya za MAJIJI kama Arusha mjini, huko Dar ama Mwanza
 
Kufaulisha elimu yenye Mwisho mfu sio Jambo la kupongeza hata kidogo!

Wenye hekima Wana hili hapa;-

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!!
 
Ukiona Samia anakusifia Ni aidha umeoa wake wengi Kama Aweso au umeolewa mitala.

Hizo nyingine za kusema kazi Ni Mbwembwe tu.

Halmashauri zimejaa upuuzi mtupu, Wala huko Malinyi hakuwezi kuwa na maajabu yoyote.
 
jembe la Mama hili
 
Tuzo zinatolewa hovyo hovyo sana kwa watu wasiositahili. Kwa nini tuzo hiyo asipewe DEO na Afisa Elimu Taaluma au Wadhibiti Ubora Elimu katika Wilatya husika?
 
Wivu 😂😂
 
Huyu Mkurugenzi anamiliki chawa wengi kuliko waliomo kwenye nywele za chizi
 
Ngoma ikilia Sana hupasuka.Hakuna maajabu hapo!!!!Ni suala la muda tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…