The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kasifiwa na Mh.Rais Leo kwenye uapisho kwamba kakusanya mapato vizuri na mengine yanatumika kujengwae Hospital ya Wilaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apewe jiji huyu Dada, au shirika la UmmaHuyu ANATAKIWA awe DC. Amefanya vizuri mpaka mh. Rais ameapreciate. Tena apewe wilaya za MAJIJI kama Arusha mjini, huko Dar ama Mwanza
Dada anafanya kazi nzuri sana huyuKasifiwa na Mh.Rais Leo kwenye uapisho kwamba kakusanya mapato vizuri na mengine yanatumika kujengwae Hospital ya Wilaya.
Hakuna chadema anayeipenda ccm wewe ni mamlukiHuu utafiti umeufanya Shule gani kiongozi?
Tangu lini Tanzania ikawa na Upinzani?
Mimi ni CHADEMA ila naipenda CCM
jembe la Mama hiliHongera Sana DED
👇👇👇👇👇👇
=>Huyu mkurugenzi anabidii Sana ya kazi,
=>Ni mchamungu Sana
=> Yuko social na kila mtu
=> Anajali Sana watumishi wake
=>She is also beautiful ila haringi,
=>Wengine wenye madaraka jifunzeni kwa huyu binti,
Niliwahi kuandika hii kabla ya hii TUZO,
👇👇👇👇👇
Huenda Joanfaith John Kataraia is best DED of the history, anajituma sana huyu binti
Nawasalimu kwa jina la JMT, Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni,Huyu Mkurugenzi deserves better tuache unafiki, Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anamteua binti huyu mdogo mrembo minong'ono ilikuwa mingi hasa humu mitandaoni,nikiwamo na Mimi, Majuzi nilifanikiwa kufika Wilaya ya Malinyi...www.jamiiforums.com
Tuzo zinatolewa hovyo hovyo sana kwa watu wasiositahili. Kwa nini tuzo hiyo asipewe DEO na Afisa Elimu Taaluma au Wadhibiti Ubora Elimu katika Wilatya husika?View attachment 2302713
Hebu tujadili kwa pamoja, nini kipo nyuma ya mafanikio haya makubwa ya Mhe Joanfaith Kataraia Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Malinyi,tangu kuteuliwa kwake wakati wote ameongoza kwa Ufaulu wa juu kwenye mitihani ya ,PSLE,pamoja na mambo mengine mbalimbali,
==
Mhe Joanfaith akiwa katika hafla ya kukabidhiwa "Tuzo" yake ya heshima (certificate of appreciation) kama mkurugenzi mtendaji bora wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi anahaya ya kusema,
View attachment 2302719
" Halmashauri yangu ya Malinyi imekuwa ikiongeza kiasi cha ufaulu kwenye mitihani yote ya kuhitimu Elimu ya Msingi (PSLE) kwa miaka mitatu mfululizo tangu 2019|2020 hadi 2021|22 kwa mchanganuo ufatao;
Mwaka 2019|20 , Wilaya ya Malinyi tulishika nafasi ya pili ( 2 ) Kimkoa (Morogoro) na nafasi ya 43 Kitaifa kwa Ufaulu wa 89.17 %
Mwaka 2020|21, Wilaya ya Malinyi tulishika nafasi ya 1 Kimkoa (morogoro) na ya 9 Kitaifa kwa ufaulu wa 96.03 %
Mwaka 2021|22, Malinyi tulishika nafasi ya kwanza Kimkoa (morogoro) na nafasi ya kumi (10) Kitaifa kwa ufaulu wa 96.06%
Mhe Joanfaith Kataraia anasema, Halmashauri ya wilaya ya Malinyi imejipanga kuendelea kuimarisha Ufundishaji na Ujifunzaji darasani pia kwa vitendo ili wakati wote kupata matokeo ya juu kimkoa na Kitaifa,
Kwanza, tunaimarisha ufundishaji wa stadi za kusoma,kuandika na kuhesabu.
Pili,tunatoa motisha kwa walimu na kulipa stahiki zao kwa wakati.
Tatu, tunashirikiana na viongozi wa Serikali za Vijiji na Wazazi kudhibiti Utoro mashuleni.
Nne, tunaendelea kuboresha Miundombinu ikiwemo Madarasa,Matundu ya vyoo,Madawati na nyumba za Walimu.
Tano, tunashirikiana na wadau wa elimu kuinua ufaulu na kuboresha miundombinu ya Kujifunzia na kufundishia,
Mhe Joanfaith anaendelea kusema, Tunamshukuru mkuu wetu wa Mkoa Mhe Martine Shigela pamoja na Mkuu wetu wa Wilaya Mhe Mathayo Masele kwa ushirikiano wao katika kupata matokeo haya ya juu kabisa kimkoa na Kitaifa,
Anaendelea kusema, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tunamshukuru zaidi Mheshimiwa Rais,Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa Upendo wake kutufanyia yafuatayo :-
•√ Kuendelea kuajiri Walimu wa kutosha,
•√ Kutoa Elimu bila Malipo kuanzia chekechea mpaka kidato cha sita,
•√ Kutoa fedha za ujenzi wa matundu ya vyoo karibu katika kila shule,
•√ Kutoa fedha nyingi za ujenzi wa vyumba vya madarasa.
•√ Kutoa fedha za ujenzi wa shule za msingi mpya.
•√ Kutoa fedha za ujenzi wa nyumba za waalimu.
•√ Kutoa fedha za kufanikisha shughuli za mitihani.
•√ Kutoa fedha za mradi wa kuimarisha ujifunzaji wa elimu ya awali na Msingi.
SHIRIKI KIKAMILIFU SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 KWA MAENDELEO ENDELEVU YA TANZANIA.🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Jiandae Kuhesabiwa..
Tuzo zinatolewa hovyo hovyo sana kwa watu wasiositahili. Kwa nini tuzo hiyo asipewe DEO na Afisa Elimu Taaluma au Wadhibiti Ubora Elimu katika Wilatya husika?
Wivu 😂😂Tuzo zinatolewa hovyo hovyo sana kwa watu wasiositahili. Kwa nini tuzo hiyo asipewe DEO na Afisa Elimu Taaluma au Wadhibiti Ubora Elimu katika Wilatya husika?
Huyu Mkurugenzi anamiliki chawa wengi kuliko waliomo kwenye nywele za chiziView attachment 2302713
Hebu tujadili kwa pamoja, nini kipo nyuma ya mafanikio haya makubwa ya Mhe Joanfaith Kataraia Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Malinyi,tangu kuteuliwa kwake wakati wote ameongoza kwa Ufaulu wa juu kwenye mitihani ya ,PSLE,pamoja na mambo mengine mbalimbali,
==
Mhe Joanfaith akiwa katika hafla ya kukabidhiwa "Tuzo" yake ya heshima (certificate of appreciation) kama mkurugenzi mtendaji bora wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi anahaya ya kusema,
View attachment 2302719
" Halmashauri yangu ya Malinyi imekuwa ikiongeza kiasi cha ufaulu kwenye mitihani yote ya kuhitimu Elimu ya Msingi (PSLE) kwa miaka mitatu mfululizo tangu 2019|2020 hadi 2021|22 kwa mchanganuo ufatao;
Mwaka 2019|20 , Wilaya ya Malinyi tulishika nafasi ya pili ( 2 ) Kimkoa (Morogoro) na nafasi ya 43 Kitaifa kwa Ufaulu wa 89.17 %
Mwaka 2020|21, Wilaya ya Malinyi tulishika nafasi ya 1 Kimkoa (morogoro) na ya 9 Kitaifa kwa ufaulu wa 96.03 %
Mwaka 2021|22, Malinyi tulishika nafasi ya kwanza Kimkoa (morogoro) na nafasi ya kumi (10) Kitaifa kwa ufaulu wa 96.06%
Mhe Joanfaith Kataraia anasema, Halmashauri ya wilaya ya Malinyi imejipanga kuendelea kuimarisha Ufundishaji na Ujifunzaji darasani pia kwa vitendo ili wakati wote kupata matokeo ya juu kimkoa na Kitaifa,
Kwanza, tunaimarisha ufundishaji wa stadi za kusoma,kuandika na kuhesabu.
Pili,tunatoa motisha kwa walimu na kulipa stahiki zao kwa wakati.
Tatu, tunashirikiana na viongozi wa Serikali za Vijiji na Wazazi kudhibiti Utoro mashuleni.
Nne, tunaendelea kuboresha Miundombinu ikiwemo Madarasa,Matundu ya vyoo,Madawati na nyumba za Walimu.
Tano, tunashirikiana na wadau wa elimu kuinua ufaulu na kuboresha miundombinu ya Kujifunzia na kufundishia,
Mhe Joanfaith anaendelea kusema, Tunamshukuru mkuu wetu wa Mkoa Mhe Martine Shigela pamoja na Mkuu wetu wa Wilaya Mhe Mathayo Masele kwa ushirikiano wao katika kupata matokeo haya ya juu kabisa kimkoa na Kitaifa,
Anaendelea kusema, Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tunamshukuru zaidi Mheshimiwa Rais,Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa Upendo wake kutufanyia yafuatayo :-
•√ Kuendelea kuajiri Walimu wa kutosha,
•√ Kutoa Elimu bila Malipo kuanzia chekechea mpaka kidato cha sita,
•√ Kutoa fedha za ujenzi wa matundu ya vyoo karibu katika kila shule,
•√ Kutoa fedha nyingi za ujenzi wa vyumba vya madarasa.
•√ Kutoa fedha za ujenzi wa shule za msingi mpya.
•√ Kutoa fedha za ujenzi wa nyumba za waalimu.
•√ Kutoa fedha za kufanikisha shughuli za mitihani.
•√ Kutoa fedha za mradi wa kuimarisha ujifunzaji wa elimu ya awali na Msingi.
SHIRIKI KIKAMILIFU SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 KWA MAENDELEO ENDELEVU YA TANZANIA.🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Jiandae Kuhesabiwa..
Tunamwombea kwa Mungu,Ngoma ikilia Sana hupasuka.Hakuna maajabu hapo!!!!Ni suala la muda tu!!!